Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YANGA YAFANYA KUFURU TAIFA

TIMU ya Yanga SC leo imefanya kufuru baada ya kuishushia kichapo cha bao 7-0 timu ya Komorozine ya Comoro kwenye mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika iliyopigwa Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam! Mabao ya Yanga yamewekwa kimiani na Mrisho Ngassa dakika 13, 65 na 68, Didier Kavumbagu dakika ya 58 na 81, Nadir Cannavaro dakika ya 20 na Hamis Kiiza aliyefunga dakika ya 59. ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

SIMBA YAFANYA KUFURU UWANJA WA TAIFA LEO,YAICHAPA JKT OLJORO BAO 4-0

 Kikosi cha timu ya Simba kilichoanza katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Oljoro JKT uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa. Simba imeshinda 4-0.   Kikosi cha timu ya Oljoro JKT kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo wao dhidi ya Simba.  Waamuzi wa mchezo huo wakiwa katika picha ya pamoja na waamuzi.  Haruna Chanongo (shoto), akiwania mpira na beki wa Oljoro JKT, Aziz Yusuf.  Chanongo akimtoka beki wa Oljoro JKT.  Kiungo wa Simba, Jonas Mkude akishangilia...

 

11 years ago

GPL

YANGA YAFANYA MAUAJI TAIFA, YAIGONGA PRISONS 5 - 0

Kikosi cha timu ya Yanga SC kilichoanza dhidi ya Tanzania Prisons ya Mbeya leo. Kikosi cha Prisons kilichokula 5-0 leo taifa.…

 

11 years ago

GPL

YANGA YAFANYA MAUAJI TAIFA: YAINYUKA JKT RUVU 5-1

Mrisho Ngasa (kulia) na Frank Domayo wakishangilia ushindi wa leo. Didier Kavumbagu wa Yanga akijaribu kuwatoka wachezaji wa JKT Ruvu.…

 

10 years ago

GPL

Thamani ya Tambwe Yanga ni kufuru

Mshambuliaji wa Yanga raia wa Burundi, Amissi Tambwe. Sweetbert Lukonge,
Dar es Salaam
SIKU chache baada ya Yanga kumuongezea mkataba mshambuliaji wake raia wa Burundi, Amissi Tambwe, ameibuka na kudai kuwa thamani yake kwa sasa imeongezaka na kuwa miongoni mwa wachezaji wa bei mbaya katika kikosi hicho. Yanga ilimuongezea mshambuliaji huyo mkataba wa mwaka mmoja na nusu kubaki klabuni hapo ambapo ataitumikia mpaka mwaka...

 

10 years ago

Raia Mwema

Wawania urais kufuru tupu, wamenajisi roho ya taifa

TUSIDANGANYANE; wawania urais 42 kwenye kinyang’anyiro hicho ni wengi mno kwa kigezo chochote kwa

Joseph Mihangwa

 

9 years ago

GPL

TAIFA STARS YAFANYA MAZOEZI YA MWISHO SAUZ

Wachezaji wa Stars wakisikiliza maelekezo kutoka kwa kocha wao, Charles Boniface Mkwasa. Stars wakiendelea kujifua nchini Afrika Kusini leo.…

 

10 years ago

Vijimambo

YANGA SC YAFANYA KWELI MOROGORO

Na Bertha Lumala, MorogoroBao pekee la mshambuliaji Danny Mrwanda limeizindua Yanga SC na kuipa ushindi wa tano msimu huu katika mechi pekee ya leo ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) dhidi ya Polisi Moro iliyochezwa Uwanja wa Jamhuri mjini hapa.
Mrwanda alifunga bao hilo dakika ya 42 akimalizia mpira uliotemwa na kipa Tony Kavishe wa Polisi Moro kufuatia shuti kali la krosi ya beki wa pembeni kulia Juma Abdul.Hilo ni bao la tano kwa Mrwanda baada ya kufunga pia mabao manne katika...

 

11 years ago

GPL

YANGA YAFANYA MABADILIKO YA KATIBA YAO

Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga SC, Yusuf Manji akiwasili eneo la mkutano katika Ukumbi wa Police Officer's Mess, Oysterbay jijini Dar. Manji akihojiwa na wanahabari.…

 

10 years ago

Vijimambo

YANGA SC YA TAIFA SIYO YA TANGA COASTAL WAKAA NYUMBANI NA KUIPISHA YANGA IFANYE YAKE

Na Bertha Lumala,TangaKikosi cha mabingwa mara 24 waTanzania Bara, Yanga SC kimefanya kweli jijini hapa baada ya kuichapa Coastal Union bao 1-0 katika mechi pekee ya leo ya Ligi Kuu Tanzania Bara.
Ushindi huo umeifanya Yanga SCiwang’oekileleni Azam FC ikifikisha pointi 22,moja nyuma ya wanalambalamba ambao hata hivyo, wana mechi moja mkokoni.Katika mechi hiyo ya kiporo ya raundi ya 10 iliyopaswa kuchezwa jijini hapa Januari 10 lakini ikapigwa kalenda na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani