Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga yaishika pabaya Azam

yangaNA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm, ameunda jeshi kamili kwa ajili ya kuiangamiza Azam FC katika mchezo wa Ngao ya Jamii, utakaochezwa Agosti 22 mwaka huu, katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Hiyo inaonyesha kuwa ameanza mikakati ya kuishika pabaya Azam, ambapo ameunda kikosi cha kwanza ambacho anaamini kitaifanyia maangamizi Azam.

Mholanzi huyo, ambaye kikosi chake kimejichimbia Tukuyu, mkoani Mbeya kusaka makali ya kulipa kisasi kwa Azam, aliliambia...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Yanga yaishika pabaya Ahly

Uongozi wa Klabu ya Al Ahly ya Misri umekataa mchezo wa baina yao na wawakilishi wa Tanzania, Yanga kupigwa katika mji wa El Gouna na badala yake umependekeza ufanyike katika jiji la Alexandria.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA yaishika Kalenga

WAKATI wiki ya kampeni za lala salama ikianza jimboni Kalenga, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeanza kumnadi mgombea wake wa ubunge, Grace Tendega, kwa helikopta ili kuvifikia vijiji vyote...

 

9 years ago

Habarileo

Ni Yanga na Azam

MBIO za kukalia kiti cha uongozi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, sasa zimebaki kuwa za timu mbili za Yanga na Azam FC, ambao wamekuwa wakibadilishana katika nafasi ya kwanza na pili.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ni vita Yanga, Azam

KIVUMBI cha Ligi Kuu Tanzania Bara, kinatarajiwa kuendelea tena leo katika viwanja viwili kwa timu ya Yanga kuwakaribisha Kagera Sugar katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam. Wakati Yanga...

 

11 years ago

Mwananchi

Azam TV ni ajenda Yanga

Mkutano Mkuu wa Yanga unafanyika leo kwenye Ukumbi wa PTA jijini Dar es Salaam huku ajenda kuu ikiwa ni ile ya mkataba wa Azam Tv.

 

9 years ago

Mwananchi

Yanga, Azam TV waelewana

Mabingwa wa Tanzania Bara, Yanga wamemaliza tofauti zake na kituo cha runinga cha Azam na sasa iko tayari kupokea fedha za udhamini kwa haki za matangazo kutoka kwa wadhamini hao.

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga waikataa Azam Tv

Wanachama wa Yanga wameikataa Azam Tv kurusha mechi zao na kuwataka viongozi wao kuipeleka mahakamani kama itakaidi na kuendelea kurusha mechi za Yanga bila idhini ya klabu hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Kumekucha Yanga, Azam

>Fainali ya Kombe la Kagame imekuja mapema, hicho ndicho unachoweza kusema baada ya wawakilishi wa Tanzania Bara, Yanga na Azam kukutana katika mchezo wa robo fainali itakayopigwa Jumatano kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani