Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga yakwea kileleni

2NA OSCAR ASSENGA, TANGA

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, wamekwea kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo, baada ya kuifunga bao 1-0 timu ya African Sports katika Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.

Bao hilo lilifungwa katika dakika 90 ya mchezo huo kupitia kwa Thabani Kamusoko, baada ya kupokea pasi ya Donald Ngoma hivyo kuifanya Yanga kushika usukani wa ligi hiyo kwa kufikisha pointi 27 huku Azam FC wakishika nafasi ya pili kwa kuwa na pointi 26.

Yanga walianza mchezo huo kwa kasi ambapo...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAN CITY YAKWEA KILELENI ENGLAND

London, England
NEWCASTLE United jana walishindwa kuuzuia muziki wa Manchester City kwenye Ligi Kuu ya England baada ya kukubali kichapo cha mabao 2-0 kwenye Uwanja wa St James. Ushindi huu umewafanya City kuongoza ligi hiyo kwa tofauti ya pointi moja dhidi ya Chelsea inayoshika nafasi ya pili baada ya kujikusanyia pointi 47 kati ya 46 za Chelsea. Hata hivyo, Arsenal ambayo inacheza leo Jumatatu na Aston Villa inaweza...

 

10 years ago

Mtanzania

Yanga yajivinjari kileleni

NA SALMA JUMA, TANGA
USHINDI wa bao 1-0 dhidi ya Wagosi wa Kaya wa Tanga, timu ya Coastal Union jana umeifanya Yanga kujivinjari kileleni mwa Ligi Kuu Tanzania Bara, ikiwa na pointi 22 katika msimamo wa ligi hiyo.
Yanga imejikusanyia pointi hizo baada ya kucheza michezo 12, huku ikibakiza mechi yake ya kiporo dhidi ya Mbeya City, ikifuatiwa na Azam yenye pointi 21 huku ikiwa imecheza michezo 11, Mtibwa inashika nafasi ya tatu ikiwa na pointi 18.
Katika mchezo huo uliopigwa kwenye Uwanja wa...

 

9 years ago

Habarileo

Yanga yaanzia kileleni

MABINGWA wa soka Tanzania Bara, Yanga jana walianza vyema kampeni ya kutetea ubingwa wao wa Ligi Kuu baada ya kupata ushindi wa mabao 2-0 mbele ya Coastal Union ya Tanga katika mchezo mkali uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

9 years ago

Habarileo

Yanga yapaa kileleni

YANGA jana iliishusha Azam na kukaa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu baada ya kushinda bao 1-0 dhidi ya African Sports. Ushindi huo unaifanya Yanga ambayo ndio bingwa mtetezi wa ligi hiyo kufikisha pointi 27 na kuishusha Azam yenye pointi 26, lakini ikiwa na mchezo mmoja nyuma.

 

9 years ago

Mwananchi

Azam yaipumulia Yanga kileleni

Azam FC imefanikiwa kupunguza pengo la pointi dhidi ya vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga, baada ya jana kuifunga Kagera Sugar kwa mabao 2-0.

 

9 years ago

Mwananchi

Azam yaifuata Yanga kileleni

Mabingwa wa Kombe la Kagame, Azam wameutumia vizuri uwanja wao wa nyumbani baada ya kuichapa Mbeya City kwa mabao 2-1 kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi jana.

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga ngoma inogile kileleni

>Mabingwa watetezi, Yanga wamekwea kileleni mwa Ligi Kuu Bara baada ya kuichakaza JKT Ruvu mabao 4-0 jana  kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

11 years ago

Mwananchi

Azam yaing’oa Yanga kileleni

Azam wamekalia usukani wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya  Yanga kulazimishwa sare 0-0 na Coastal Union kwenye Uwanja wa Mkwakwani.

 

9 years ago

Mtanzania

Azam yaiporomosha Yanga kileleni

azamNA JENIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM

TIMU ya Azam FC imeitibulia Yanga kwa kuitoa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, baada ya  kuifunga Mtibwa Sugar bao 1-0 na kukwea juu yao katika mchezo uliochezwa jana kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam.

Kwa matokeo hayo, Azam wamefikisha pointi 35 wakiishusha Yanga nafasi moja ambao wana pointi 33 katika msimamo wa ligi hiyo.

Lilikua bao la mshambuliaji John Bocco, ambalo lilitosha kuirejesha Azam kileleni, baada ya kufunga bao pekee...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani