MAN CITY YAKWEA KILELENI ENGLAND
![](http://api.ning.com:80/files/O0rRt4kCpsoSa6xKHLCtA7YLvNpsVY*6rCdpguvVNRo8H7FwWc0UOnOW76hzEejCV5cRfngvvtv*mntWjRWXPnKax33VmCN1/SergioAguero011.jpg?width=650)
London, England NEWCASTLE United jana walishindwa kuuzuia muziki wa Manchester City kwenye Ligi Kuu ya England baada ya kukubali kichapo cha mabao 2-0 kwenye Uwanja wa St James. Ushindi huu umewafanya City kuongoza ligi hiyo kwa tofauti ya pointi moja dhidi ya Chelsea inayoshika nafasi ya pili baada ya kujikusanyia pointi 47 kati ya 46 za Chelsea. Hata hivyo, Arsenal ambayo inacheza leo Jumatatu na Aston Villa inaweza...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania17 Dec
Yanga yakwea kileleni
NA OSCAR ASSENGA, TANGA
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, wamekwea kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo, baada ya kuifunga bao 1-0 timu ya African Sports katika Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.
Bao hilo lilifungwa katika dakika 90 ya mchezo huo kupitia kwa Thabani Kamusoko, baada ya kupokea pasi ya Donald Ngoma hivyo kuifanya Yanga kushika usukani wa ligi hiyo kwa kufikisha pointi 27 huku Azam FC wakishika nafasi ya pili kwa kuwa na pointi 26.
Yanga walianza mchezo huo kwa kasi ambapo...
9 years ago
Mtanzania05 Dec
Man City kuendelea kukaa kileleni leo?
MANCHESTER, ENGLAND
MICHUANO ya Ligi Kuu nchini England inatarajia kuendelea leo katika viwanja mbalimbali, huku Stoke City wakiwa kwenye uwanja wa nyumbani na kuwakaribisha vinara wa michuano hiyo, Manchester City.
Huu ni mchezo ambao utatazamwa sana kutokana na nafasi hiyo ambayo inashikiliwa na Manchester City ikiwa ipo sawa na Leicester City, wote wakiwa na alama 29 katika msimamo wa Ligi, wakitofautiana mabao.
Mchezo huu Man City watautolea macho ili waweze kuondoka na alama tatu na...
11 years ago
BBCSwahili30 Jan
Man City yaongoza ligi kuu England
10 years ago
BBCSwahili09 Dec
Man U yakwea nafasi ya tatu
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/oncLOIv1tO69NUWO365Uw5uKqUsIQzIahb-5jr9Qo4J-LmosFq7vZ8FYsoZFfppVYR*rBGJ9rboBCj2-SHWWN9LlbLdDaj0U/arsenal.jpg?width=650)
ARSENAL YAREJEA KILELENI LIGI KUU ENGLAND
9 years ago
BBCSwahili12 Dec
Manchester City warejea kileleni EPL
5 years ago
GIVEMESPORT15 Feb
Rui Pinto: The man who exposed Man City ahead of their Champions League ban
5 years ago
Mirror Online09 Mar
Sir Alex Ferguson cannot hide his delight after Man Utd beat Man City