Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga yamshangaa mwanasheria wake

Klabu ya Yanga imesema kuwa haipingani na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuhusu kumtambua kipa Juma Kaseja kuwa mchezaji wake halali kwa kuwa haikupeleka barua kwenye shirikisho hilo kulitaarifu kuhusu kuachwa kwake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Ikulu yamshangaa Dk Mahanga

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue amesema ameshangazwa na kauli ya aliyekuwa Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk Makongoro Mahanga kuwa wingi wa makatibu wakuu unakinzana na dhana ya kupunguza ukubwa wa Serikali alioahidi Rais John Magufuli.

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS DK. SHEIN AMFUTA KAZI MWANASHERIA MKUU SMZ NA KUMTEUA MWANASHERIA MPYA


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohammed Shein amemteua Mh. Said Hassan Said kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.
Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa leo na Katibu wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee, Dkt Shein amefanya uteuzi huo kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya kifungu 55(1) cha Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984.

Mheshimiwa Said Hassan anachukua nafasi ya aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mh. Othman Masoud...

 

10 years ago

Mtanzania

Yanga yawatuliza nyota wake

NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM
MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga, wamepanga kuwatuliza nyota wao kwa kuanzisha mipango endelevu ndani ya klabu hiyo ambayo itawahamasisha na kuwavutia kuendelea kuitumikia timu yao kwa mafanikio msimu ujao.
Kwa sasa Yanga inajiandaa na michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kombe la Kagame) itakayofanyika Julai, mwaka huu nchini.
Lakini baada ya kumalizika kwa Ligi Kuu Mei 9 mwaka huu, Yanga wameendelea kuvuta subira kwenye usajili...

 

11 years ago

Michuzi

Taarifa ya Yanga Kuhusu Wachezaji Wake

Uongozi wa klabu ya Young Africans unapenda kuwajulisha wanachama wake, wapenzi wa soka na wadau kwa ujumla kuwa taarifa za kuhama kwa wachezaji wake Didier Kavumbagu na Frank Domayo kwenda kujiunga na Azam FC zisiwakatishe tamaa, ni mapenzi ya wachezaj wenyewe kwani walishakubaliana na uongozi kila kitu juu ya kuendelea kuitumikia Yanga kabla ya siku mbili hizi kuonekana wakiwa wamejiunga na wana ramba ramba.
Yanga tayari ina wachezaji watatu wenye mikataba inayoendelea na kama kanuni za...

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga yachimba mkwara nyota wake

Uongozi wa Yanga umetema ‘cheche’ kwa wachezaji wenye nidhamu mbovu kuwa watakumbana na adhabu kali ikiwezekana zaidi ya ile aliyopewa kiungo wao, Athuman Idd Chuji.

 

10 years ago

Mwananchi

Wakongwe: Yanga hailingani na umri wake

Wakati Yanga ikitimiza miaka 80 tangu kuanzishwa kwake, wachezaji wa zamani wa timu hiyo wamesema licha ya ukongwe wa klabu hiyo bado haijapiga hatua yoyote ya maendeleo.

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga yazuia nyota wake Stars

Klabu ya Yanga imewazuia wachezaji wake watatu kujiunga na kambi ya timu ya Taifa, Taifa Stars, hadi pale watakapomaliza mechi yao ya leo dhidi ya Thika United ya Kenya.

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga watoa kali madai ya uwanja wake

Mwenyekiti wa Kamati ya Ujenzi wa Jengo la Yanga, Francis Kifukwe amesema kituo cha mabasi yaendayo kasi (DARTS) kilichojengwa eneo Jangwani kipo ndani ya eneo lao

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani