Yanga yapania pointi zote 3 kwa Mwadui
MABINGWA wa soka Tanzania Bara, Yanga wamewasili salama mjini Shinyanga huku wakitamba kuvuna pointi zote tatu kwa kuishambulia Mwadui FC mwanzo mwisho katika mchezo wao wa Ligi Kuu unaotarajiwa kufanyika kesho.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/5q5teEQPfO0/default.jpg)
10 years ago
Raia Tanzania23 Jul
Yanga yapata pointi tatu muhimu
BAADA ya mchezo wa ufunguzi kupata kichapo cha mabao 2-1, kutoka kwa Gor Mahia ya Kenya, Yanga jana imepata ushindi wake wa kwanza wa michuano ya Kagame baada ya kuifunga mabao 3-0, Telecom ya Djibout katika muendelezo wa michuano hiyo jijini Dar es Salaam.
Mabao ya Yanga yaliwekwa kimiani na mshambuliaji Malimi Busungu aliyefunga mabao mawili dakika ya 26 na 61, na Geofrey Mwashiuya dakika ya 72, ambaye aliingia kipindi cha pili kuchukua nafasi ya Simon Msuva.
Katika mchezo huo...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-qVRVKl9kono/VTplCtps6dI/AAAAAAABXqk/6TMrrYexCD4/s72-c/3.jpg)
Yanga noma yabakisha pointi 3 kutwaa ubingwa
![](http://4.bp.blogspot.com/-qVRVKl9kono/VTplCtps6dI/AAAAAAABXqk/6TMrrYexCD4/s1600/3.jpg)
Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva, akimpiga kanzu mchezaji wa Ruvu Shooting, Abdulahman Musa, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshinda 5-0.
Timu zikiingia uwanjani.
Mshambuliaji wa Yanga, Amis Tambwe akiwatoka wachezaji wa Ruvu Shooting. Picha zaidi BOFYA HAPA
10 years ago
Vijimambo06 Jan
YANGA WAFANYA YAO HUKO MAPINDUZI CUP POINTI 9 NA GOLI 9 COUTINHO NI SHEEEDA
Yanga imeifunga Shaba kwa bao 1-0 bao lililo fungwa na Coutinho dk ya 86 katika mechi ngumu katika michuano ya Kombe la Mapinduzi kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
Pamoja na kushambulia sana na kukosa sana, Yanga walilazimika kusubiri hadi dakika ya 86 wakati Andrey Coutinho alipofunga bao kwa kichwa akiunganisha krosi ya...
9 years ago
Mwananchi26 Sep
Kerr aandaa silaha zote kuiua Yanga
10 years ago
Tanzania Daima04 Oct
Pato la taifa laongezeka kwa pointi
OFISI ya Taifa ya Takwimu (NBS), imesema ukuaji wa pato la taifa kwa bei ya soko umeongezeka kwa kasi ya asilimia chanya 6.9 kwa kipindi cha robo ya pili ya...
10 years ago
Tanzania Daima09 Sep
Mfumuko wa bei waongezeka kwa pointi
OFISI ya Taifa ya Takwimu, imesema mfumuko wa bei umeongezeka kutoka asilimia 6.5 hadi 6.7 kati ya Agosti na Julai mwaka huu kutokana na kupanda kwa bei za bidhaa zisizo...