Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga yatanguliza wanne Misri

Uongozi wa Yanga umepeleka watu wanne kuichunguza Al Ahly ya Misri, akiwamo kocha msaidizi wa timu hiyo, Boniface Mkwasa aliyekwea ‘Pipa’ juzi ili kuiangalia timu hiyo ikicheza na Sfaxien ya Tunisia katika mchezo wa Super Cup Afrika utakaofanyika leo kwenye Uwanja wa Cairo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Yanga yachukua tahadhari Misri

Kocha Mkuu wa Yanga, Hans Van Der Pluijm amesema timu yake haitakwenda Misri ikiwa na dhana ya kwenda kujilinda ila itashambulia muda wote kwa lengo la kusaka mabao.

 

11 years ago

GPL

Maximo ashikilia usajili wa nyota wanne Yanga

Kocha Mbrazili, Marcio Maximo. Na Wilbert Molandi
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umesema kuwa hatima ya wachezaji wao wanne ambao mikataba yao imemalizika, ipo chini ya kocha mpya, Mbrazili, Marcio Maximo. Mbrazili huyo hivi sasa yupo katika mazungumzo ya mwisho na klabu hiyo kwa ajili ya kutua kuja kukinoa kikosi hicho akimrithi Mholanzi, Hans van Der Pluijm. Nyota hao wanne ambao mikataba nayo imemalizika ni kipa Ali Mustapha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani