Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YANGA YAWACHINJA WAZIMBWABWE 5-1 TAIFA

Timu ya Yanga iliutumia vyema uwanja wa nyumbani kwa kuwazibiti Wazimbamwe kila idara kwa kucheza soka safi na kuwachinja bao  5 kwa 1 mchezo uliofanyika uwanja wa Taifa Dar-Es-Salaam. Mabao ya Yanga yaliwekwa nyavuni na Salum Abdul, Niyonzima, Hamis Tambwe na Ngassa mawili.
Timu ya Yanga imejiweka katika mazingira mazuri ya kusonga mbele kwenye 16 bora kwani kwenye mchezo wa marudiano wanatakiwa kufungwa bao 4 -0 kuanga mashindano hayo lakini wakifungwa chini ya bao 4 au hata kujipatia bao...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

Liverpool yawachinja wabishi Southampton

Raheem Sterling wa Liverpool akishangilia goli.
LIVERPOOL, England
LIVERPOOL jana waliamka na kucheza kwa kasi hali iliyowapa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya timu ngumu ya Southampton kwenye mchezo uliopigwa katika Uwanja wa St Mary.Katika mchezo wa mapema, Tottenham Hotspur walifanya kazi kubwa na kuambulia sare ya mabao 2-2 dhidi ya kigogo West Ham. Mchezo wa jana wa Liverpool ulikuwa wa kasi ya hali ya juu na kushuhudia...

 

10 years ago

Vijimambo

YANGA SC YA TAIFA SIYO YA TANGA COASTAL WAKAA NYUMBANI NA KUIPISHA YANGA IFANYE YAKE

Na Bertha Lumala,TangaKikosi cha mabingwa mara 24 waTanzania Bara, Yanga SC kimefanya kweli jijini hapa baada ya kuichapa Coastal Union bao 1-0 katika mechi pekee ya leo ya Ligi Kuu Tanzania Bara.
Ushindi huo umeifanya Yanga SCiwang’oekileleni Azam FC ikifikisha pointi 22,moja nyuma ya wanalambalamba ambao hata hivyo, wana mechi moja mkokoni.Katika mechi hiyo ya kiporo ya raundi ya 10 iliyopaswa kuchezwa jijini hapa Januari 10 lakini ikapigwa kalenda na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)...

 

10 years ago

Vijimambo

MTANANGE WA YANGA NA MGAMBO JKT YANGA YASHINDA 2-0 TAIFA

Mashabiki Yangawakishangilia ushindi wa goli 2 huku wakionyesha vidole viwili juu katika mtanange wale Taifa kati ya timu ya Mgambo JKT kutoka Tanga na Yanga ya Dar es Salaam na timu ya Yanga kuibuka na pointi zote 3 baada ya kuifunga timu hiyo ya wagosi wa kaya kwa bao 2-0.Ni raha tu kama wanavyoonekana mashabiki wa Yanga walioshuhudia timu hiyo ilipoibanjua Magambo JKT  kwa bao 2-0 kwa mechi iliyochezewa uwanja wa Taifa.Kipa wa Mgambo JKT, Said Lubawa, akilalamika baada ya Msuva kuutundika...

 

10 years ago

Michuzi

MECHI YA YANGA NA BDF XI FC YA BOTSWANA INAPIGWA HIVI SASA UWANJA WA TAIFA,YANGA INAONGOZA KWA BAO 2-0

 Mchezaji wa timu ya Yanga,Mrisho Khalfan Ngassa akiwania mpira na Mchezaji wa timu ya BDF XI FC ya nchini Botswana wakati wa mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika unaopigwa hivi sasa kwenye uwanja wa Taifa jini Dar es salaam.Yanga inaongoza kwa bao 2 - 0 zilizotiwa kimiani na Mshambuliaji Hamis Tambwe. PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI Golikipa wa timu ya BDF XI FC ya nchini Botswana akiondosha hatari iliyokuwa ikielekezwa langoni mwake wakati wa Mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika...

 

11 years ago

Michuzi

MTANANGE WA YANGA NA MBEYA CITY UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR HIVI SASA,YANGA YAONGOZA KWA BAO 1-0

 Mshambuliaji machachari wa timu ya Yanga,Mrisho Ngassa (17) akichuana vikali kuwania mpira na Beki wa Timu ya Mbeya City,Deogratias Julius wakati wa mtanange wao wa Ligi kuu Tanzania Bara unaoendelea kufanika hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimemalizika hivi punde na Yanga wanaongoza kwa Bao 1-0 lililotiwa kimiani na Mrisho Ngassa,dakika ya 15 ya mchezo kipindi cha kwanza.  Beki wa Timu ya Mbeya City,Deogratias Julius akijiandaa...

 

11 years ago

Michuzi

MTANANGE WA YANGA NA KOMOROZINE YA NCHINI COMORO UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR HIVI SASA,YANGA YAONGOZA KWA BAO 2-0

 Mshambuliaji wa Pembeni wa Timu ya Yanga,Simon Msuva (27) akiwatoka mabeki wa timu ya Komorozine ya nchini Comoro wakati wa mchezo wao wa Klabu Bingwa Barani Afrika unaoendelea kuchezwa hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Yanga inaongoza kwa Bao 2-0.  Mshambuliaji wa Pembeni wa Timu ya Yanga,Simon Msuva (27) akichuana vikali na Beki wa Timu ya Komorozine ya nchini Comoro,Ahmad Houmadi (5) wakati wa mchezo wao wa Klabu Bingwa Barani Afrika unaoendelea kuchezwa hivi sasa...

 

11 years ago

GPL

YANGA YAFANYA KUFURU TAIFA

TIMU ya Yanga SC leo imefanya kufuru baada ya kuishushia kichapo cha bao 7-0 timu ya Komorozine ya Comoro kwenye mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika iliyopigwa Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam! Mabao ya Yanga yamewekwa kimiani na Mrisho Ngassa dakika 13, 65 na 68, Didier Kavumbagu dakika ya 58 na 81, Nadir Cannavaro dakika ya 20 na Hamis Kiiza aliyefunga dakika ya 59. ...

 

10 years ago

GPL

YANGA YAICHAPA MTIBWA 2-0 TAIFA

Mrisho Ngassa. TIMU ya Yanga yenye makazi yake Jangwani jijini Dar es Salaam leo imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara. Mechi hiyo imechezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam huku mabao yote mawili ya Yanga yakiwekwa kimiani na Mrisho Ngassa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani