Yatima waomba ufadhili wa elimu
WATOTO yatima waliohitimu elimu ya awali katika shule ya Tegemeo Kagazi, wameiomba Serikali na taasisi mbalimbali kuwapatia ufadhili ili wajiunge na elimu ya msingi. Meneja wa Kituo cha Tumaini letu,...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog11 Sep
Mamlaka ya elimu yatoa ufadhili wa milioni 300 kwa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Mwalimu Julius K.Nyerere
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Bw. Joel Laurent akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar Es Salaam kuhusu mikakati ya mamlaka hiyo katika kuboresha sekta ya elimu hapa nchini kupitia Mfuko wa Elimu. Kushoto ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Mwalimu Julius K Nyerere Prof. Dominic Kambarage.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Mwalimu Julius K Nyerere Prof. Dominic Kambarage (wa pili kushoto) na Kaimu Mkurugenzi...
10 years ago
MichuziACACIA KUKUSANYA DOLA 200,000 KWA AJILI YA UFADHILI WA ELIMU KWA WATOTO MASKINI, NI KUPITIA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO
Akizungumza muda mfupi kabla ya kuanza kwa safari ya kupanda mlima Kilimanjaro kwenye lango la Machame,iliyo shirikisha watu 21, Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni...
10 years ago
Habarileo04 Feb
Elimu yajieleza michango kwa yatima
WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii imesema haina utaratibu wa kutoa michango ya kugharamia elimu kwa watoto yatima wanaolelewa katika vituo vinavyomilikiwa na watu binafsi.
11 years ago
Mwananchi21 Jan
Macmilan; shule inayotoa elimu bure kwa yatima
10 years ago
MichuziSAMAKI SAMAKI KUCHANGIA ELIMU KWA WATOTO YATIMA
Mgahawa wa Samaki Samaki umeanzisha mpango wa kuchangia Elimu kwa watoto yatima kwa kila mtu atakayekula katika migahawa ya samaki samaki itatolewa sh.1000 kwa bei halisi na sio kukatwa mteja.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam ,Afisa Mkuu wa Masoko wa Samaki Samaki,Edward Lusala amesema Samaki Samaki imefikisha miaka nane tangu kuanza kwake na wameona kuna umuhimu wa kuchangia katika kundi la watoto yatima.
Amesema kuwa wanawafundisha...
5 years ago
MichuziTAASISI YA TUMAINI LA MTOTO YATOA ELIMU, MSAADA KATIKA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHA CHUKUWAMA
Akitoa elimu kwa watoto wa kituo hicho Mkurugenzi Taasisi ya Tumaini la Mtoto, Maziku Kuwandu amesema kuwa Watoto waliopo kwenye vituo vyao vya kulelewa wamekuwa hawapati elimu ya kujikinga na Virusi vya Corona (Covid 19) ndio maana wachukua fursa hiyo kuwapa elimu watoto hao.
"Taasisi ya Tumaini la Mtoto kupitia...
10 years ago
MichuziWaziri wa Elimu atembelea Banda la Mamlaka ya Elimu Tanzania kwenye maonyesho ya Elimu mjini Dodoma
11 years ago
Mwananchi31 Jan
WTZ wahamasishwa kusaka ufadhili kilimo
11 years ago
Tanzania Daima21 Mar
Karimjee yatoa ufadhili magonjwa ya saratani
MADAKTARI wawili Watanzania, Dk. Rehema Laiti na Dk. Shakilu Kayungo, wamepatiwa ufadhili wa masomo ya Shahada za Uzamili ya magonjwa ya Saratani kwa watoto katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Afya...