Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Macmilan; shule inayotoa elimu bure kwa yatima

Tatizo la uwepo wa watoto wa mitaani nchini huenda lisingeendelea kukua kama nchi ingekuuwa na mkakati katika kuwasaidia hasa kuwapatia elimu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Shule 11 kutohusika elimu bure

WIZARA ya Elimu, Sayansi na Ufundi imetoa waraka wa elimu kuhusu elimumsingi bila malipo na kutoa orodha ya shule za msingi 11 za Serikali ambazo hazihusiki na utoaji wa elimu bure uliotangazwa na Rais John Magufuli. Elimumsingi inajumuisha elimu ya awali, ya msingi na sekondari ambayo itaanza Januari mwakani.

 

9 years ago

Bongo5

Hii ndio taasisi inayotoa huduma ya matibabu bure jijini Dar

10995988_1437850883176131_1662728636697019795_n

Taasisi ya Mkono wa Tumaini inayofanya kazi za kusaidia jamii kwa kutoa huduma za matibabu bure maeneo ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Jumamosi iliyopita, imeweza kuendelea la jukumu la kusaidia jamii ya watu wa Kinondoni hasa maeneo ya Kinondoni shamba na maeneo ya jirani kuwasaidia kupata unafuu kwa matibabu wale wasio na uwezo wa kumudu gharama za kuwaona madaktari.

10995988_1437850883176131_1662728636697019795_n
Baadhi ya wananchi wa Kinondoni wakisubiri kupewa huduma na waataalam wa taasiso hiyo

Taasisi hiyo, inayofanya kazi...

 

9 years ago

Mwananchi

Elimu bure ya Nyerere vs elimu bure ya Magufuli

Nakubaliana na Rais John Magufuli kuwa Watanzania wanahitaji maarifa. Nakubaliana naye kuwa watoto wa maskini wanahitaji elimu, tena elimu yenye maarifa siyo kurundikana darasani tu pasipo maarifa wala kujifunza.

 

9 years ago

Mwananchi

Ahadi ya elimu bure, tujifunze kwa MMEM

Wakati tunajiandaa kupokea elimu bure ya sekondari hapo mwakani ni vema tukajifunza mambo kadhaa kutoka elimu ya msingi ambayo tayari imekuwa ikitolewa bure.

 

10 years ago

Habarileo

Elimu yajieleza michango kwa yatima

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Stephen KebweWIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii imesema haina utaratibu wa kutoa michango ya kugharamia elimu kwa watoto yatima wanaolelewa katika vituo vinavyomilikiwa na watu binafsi.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO, Dr. SHUKURU KAWAMBWA, AIPONGEZA SHULE YA SEKONDARI " IMPERIAL" KWA JINSI ILIVYO JIPANGA KUTOA ELIMU BORA.

Waziri wa Elimu na Mafunzo, Dr. Shukuru Kawambwa, jana Tarehe 7 July-2014, alitembelea maenesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa (TANTRADE) , yajulikanayo kama maonesho ya Saba Saba, na kutembelea Banda la Shule ya Sekondari Imperial, Dr. Kawambwa ametoa pongezi kwa uongozi na waalimu wa Shule ya Sekondari Imperial, kwa Jinsi ilivyojipanga kuhakikisha inatoa Elimu Bora Nchini, inayokidhi viwango vya Kimataifa, kwa gharama nafuu.
Shule ya Sekondari Imperial, iko Msolwa-Chalinze.
Shule imejengwa...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YA ZANZIBAR YAENDELEA KUTOA ELIMU BURE KWA WATOTO

   STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE  Zanzibar                                                    
                                                                                                              14.6.2015
LICHA ya kupanda kwa gharama za uendeshaji wa sekta ya elimu hapa Zanzibar na duniani kote, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kuhakikisha elimu inaendelea kutolewa bure kwa watoto wa Zanzibar kama ilivyotangazwa na Marehemu Mzee Abeid...

 

10 years ago

Vijimambo

SERA YA LOWASSA ELIMU YA JUU BURE ‪#‎HAIWEZEKANI‬ KWA SASA


HOJA ya UKAWA: ELIMU Bure mpaka chuo kikuu! Tanzania ina Vyuo vikuu 54. Tusidanganyike kama Watoto wadogo haiwezekani hata kidogo!!TAFAKARI: tutathmini tu watu wa Shahada ya kwanza! Mwaka 2014/2015 TCU inatarajia kudahili wanafunzi 48, 000.Kwa mwanafunzi mmoja chuo kikuu fani ya Sayansi ya asili (Natural Science) kwa mwaka mmoja anahitaji kiasi kisichopungua Tshs 5,500, 000 (tuition fees, stationary, meal and accommodation, field, Equipments n. k).
Kwa mwaka huu 2014/2015 TCU kwa sayansi...

 

10 years ago

Bongo Movies

Pole Aunty Ezekiel kwa hili. Msamehe bure. Ni elimu tu.

Kweli mitandao ya kijamii ina kazi. Ukiwa na moyo mwepesi mitandao hii inaweza kuwa sio wazo zuri sana kwako.

Leo kupitia mtandao, mwanadada Aunty Ezekiel amepata na jambo ambalo kwa upande wetu tunaona si la kiungwana hata kidogo baada ya jamaa mmoja kuandika maneno yasio ya kibinadamu hata kidogo kwenye picha moja aliyoiweka mwanadada huyo ambaye ni mjamzito .

Aunty Ezekiel aliweka picha yake akiwa na Wema Sepetu ambaye hapo jana aliamua kufungua juu ya tatizo lake linalomsumbua la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani