Yaya atamani kuwa Zidane wa Man City
Wakala wa kiungo huyo wa kimataifa wa Ivory Coast, Dimitri Seluk amefichua kwamba Toure anataka ‘klabu itakayomjali na kumhakikishia neema kwa muda mrefu iwezekanavyo’ kama vile ilivyofanya Real Madrid ya...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi22 Dec
Yaya katika kikosi cha Zidane
9 years ago
MillardAyo05 Jan
Baada ya David Beckham kusikia kuwa Zidane ameteuliwa kuwa kocha wa Real Madrid, haya ndio aliyoandika …
Baada ya kuwepo na tetesi za muda mrefu kuhusu uongozi wa klabu ya Real Madrid kutoridhishwa na mwenendo wa timu yao January 4, umetangaza rasmi kumfuta kazi aliyekuwa kocha wa klabu hiyo Rafael Benitez. Real Madrid walitangaza kumfuta kazi Benitez na Zidane kutajwa kurithi nafasi hiyo kwa muda hadi mwisho wa msimu. Kufuatia kuteuliwa kwa Zidane […]
The post Baada ya David Beckham kusikia kuwa Zidane ameteuliwa kuwa kocha wa Real Madrid, haya ndio aliyoandika … appeared first on...
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Kauli ya Sergio Aguero kama unafikiria kuwa Lionel Messi atajiunga na Man City …
Staa wa kimataifa wa Argentina anayekipiga katika klabu ya Manchester City, Sergio Kun Aguero amekiri kuwa angependa kumuona mshambuliaji wa FC Barcelona na timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi akijiunga na Manchester City japokuwa anaamini sio rahisi kufanya uamuzi huo. Ni zaidi ya mara mbili Lionel Messi anahusishwa kuhitajika na Man City, hata siku za […]
The post Kauli ya Sergio Aguero kama unafikiria kuwa Lionel Messi atajiunga na Man City … appeared first on...
5 years ago
BBCSwahili07 Mar
Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 07.03.2020: Zidane, De Bruyne, Sterling, Skriniar, Zidane, Cantwell, Matic
11 years ago
Mwananchi22 May
Yaya aitia kiwewe Manchester City
11 years ago
Mwananchi19 Jul
Yaya Toure akataa kwenda Man United
9 years ago
Bongo505 Jan
David Beckham aonesha furaha yeke ya Zidane kuteuliwa kuwa kocha wa Real Madrid, huu ndo ujumbe alio andika
![1704013-36078683-2560-1440](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/1704013-36078683-2560-1440-300x194.jpg)
Baada ya klabu ya Real Madrid kutangaza rasmi kumfuta kazi aliyekuwa kocha wa klabu hiyo Rafael Benitez. Real Madrid walitangaza kumfuta kazi Benitez na Zidane kutajwa kurithi nafasi hiyo kwa muda hadi mwisho wa msimu.
Mchezaji mwenzake wa zamani David Beckham hakuweza kuficha kuonesha furaha yake kwa kupost picha yao ya zamani na ujumbe wenye kuoneshwa kufurahishwa na nguli huyo wa kifaransa kuchukua mikoba hiyoo.
“Unaweza kumpata mtu bora zaidi yake? mtu ambaye alikuwa bora kiwanjani na...