Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yaya Toure mwanasoka bora Africa

kiungo wa timu ya Manchester City Yaya Toure amekuwa mchezaji wa kwanza kutajwa na shirikisho la soka barani Afrika kuwa mchezaji bora wa mwaka kwa mwaka wanne mfululizo.
Toure ana umri wa miaka 31,aliteuliwa baada ya kucheza kwa kujitoa na kuleta ushindi katika Premier League na League Cup, na pia alijitoa kuisaidia Ivory Coast kuingia katika kombe la mataifa ya Africa yatakayo fanyika baadaye mwaka huu.

Toure amewapiku mshambuliaji kutoka Gabon, Pierre Emerick Aubameyang na golikipa...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Yaya Toure mwanasoka bora

Yaya Toure ndiye mchezaji bora wa mwaka .

 

9 years ago

BBCSwahili

Toure ashinda tuzo ya BBC ya mwanasoka bora Afrika

Yaya Toure ametangazwa mshindi wa Tuzo ya BBC ya Mwanasoka Bora wa Afrika wa Mwaka 2015, katika mwaka ambao alianza kwa kuongoza Ivory Coast kutwaa ubingwa Afrika.

 

9 years ago

Bongo5

Yaya Toure atajwa tena kuwania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika

151211161158_yaya_toure_624x351_bbc_nocredit

Yaya Toure, ametajwa tena miongoni mwa wachezaji watatu bora kuwania taji la mwana soka bora mwaka huu na shirikisho la soka barani Afrika (CAF).

151211161158_yaya_toure_624x351_bbc_nocredit

Tuzo hii huwajumuisha wachezaji wa Afrika wanaocheza soka ng’ambo.

151114103628_andre_ayew_640x360_getty
Andre ‘Dede’ Ayew kutoka Ghana

Nyota huyo wa Manchester City kwa mara nyengine atakuwa akipigania taji hilo dhidi ya mshambulizi wa Black Stars ya Ghana na Swansea Andre ‘Dede’ Ayew na Pierre-Emerick Aubameyang wa Gabon na Borussia Dortmund.

24CC6CFA00000578-0-image-a-19_1421529621191
Pierre Emerick Aubameyang kutoka...

 

10 years ago

GPL

YAYA TOURE ATWAA TUZO YA MCHEZAJI BORA AFRIKA MARA 4 MFULULIZO

Yaya Toure. KIUNGO wa Manchester City, Yaya Toure amekuwa mchezaji wa kwanza kushinda tuzo ya CAF ya Mchezaji Bora wa Afrika kwa mara ya nne mfululizo. Toure, 31, alitajwa kuwania tuzo hiyo baada ya kutoa mchango mkubwa kwa Manchester City kushinda Ligi Kuu ya England na kunyakua Kombe la Ligi. Pia aliisaidia Ivory Coast kufuzu kucheza Kombe la Mataifa ya Afrika 2015.
Toure alipambana na mshambuliaji kutoka Gabon...

 

9 years ago

Bongo5

Samatta aingia kwenye Top 10 ya wanaowania tuzo ya mwanasoka bora Afrika (Based in Africa) 2015

sam

Mchezaji wa Taifa Stars, Mbwana Samatta, ameingia kwenye orodha ya wachezaji 10 wanaowania tuzo ya mchezaji bora barani Afrika.

sam

Samatta ambaye pia anaichezea klabu ya TP Mazembe ya DR Congo, anawania tuzo ya mchezaji bora Afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani (African Player of the Year (Based in Africa) 2015.

Mshindi wa tuzo hiyo ataamuliwa kwa kura zitakazopigwa na makocha pamoja na wakurugenzi wa ufundi wa nchi wanachama wa shikirikisho la mpira wa miguu Afrika (CAF).

Tuzo hiyo...

 

10 years ago

BBC

Profile: Yaya Toure

Why Ivory Coast star should be African Footballer of the Year

 

10 years ago

BBCSwahili

Pellegrini:''Hatumtegemei Yaya Toure''

Manuel Pelegrini ana matumaini kwamba Manchester City inaweza kupambana ili kushinda taji la ligi kuu nchini Uingereza bila yaya toure

 

11 years ago

BBCSwahili

Yaya Toure bingwa wa Afrika

Mchezaji wa Manchester City ambaye pia hucheza nafasi ya kiungo cha kati katika timu ya Ivory Coast, Yaya Toure ndiye mwanasoka bora zaidi wa mwaka barani Afrika

 

11 years ago

BBCSwahili

Je utampigia kura Yaya Toure?

Ni mchezaji maarufu wa Manchester City na ameteuliwa kuwania tuzo hii ya mwanakandanda bora zaidi barani Afrika Jee anatanawiri?

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani