Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YEMI ATANGAZA SIKU YA KUZIKWA BABA YAKE

Baba yake Yemi Alade aliyekuwa Kamishna Mstaafu wa Polisi, J.A. Alade enzi za uhai wake. MWANAMUZIKI wa kike wa Nigeria, Yemi Alade,  na familia yake watafanya  maziko ya marehemu baba yake tarehe 7 na 8 Mei mwaka huu. Baba yake Alade aliuyekuwa Kamishna Mstaafu wa Polisi, J.A. Alade, alifariki  Januari 16 mwaka huu na binti yake huyo ambaye ni mtunzi wa wimbo maarufu wa ‘Johnny’, hajasema mengi kuhusiana na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

YEMI ALADE AZUNGUMZIA KIFO CHA BABA YAKE

Mwanamuziki Yemi Alade.
Marehemu baba yake Yemi. MWIMBAJI maarufu wa kimataifa wa Nigeria, Yemi Alade, amezungumzia kwa mara ya kwanza kifo cha baba yake aliyefariki wiki iliyopita. Msanii huyo wa kike aliyevuma kwa wimbo wa ‘Johnny’, alitoa kauli yake katika mtandao wa kijamii wa Instagram ambako aliandika: “Mungu ambariki. Mbingu imepata malaika mwenye thamani kubwa,” aliandika katika ukurasa wake...

 

9 years ago

GPL

MWILI WA BABA YAKE MWANAHABARI, PETER AMBILIKILE WAAGWA JIJINI DAR, KUZIKWA MBEYA LEO‏

 Marehemu Mzee Anyosisye Mwakyusa enzi za uhai wake.  Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Anyosisye Mwakyusa, baba mzazi wa mwandishi mwandamizi wa gazeti la Jambo Leo, Peter Ambilikile, wakati wa ibada ya kumuombea iliyofanyika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Ubungo Kibangu Dar es Salaam jana, kabla ya kuusafirisha kwenda mkoani Mbeya kwa mazishi yatakayofanyika leo.… ...

 

11 years ago

GPL

H.BABA ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA

H.Baba na mke wake, Florah Mvungi wakilishana keki. Florah Mvungi akiwa na mtoto wake Tanzanite. H.Baba akimlisha keki mama yake. Mke wake H.Baba, Florah Mvungi  akiwa…

 

10 years ago

Bongo Movies

Mtoto wa Monalisa Alishangaa Siku ya Msiba wa Baba Yake

Sonia Tyson  George mtoto wa aliekuwa  muongozaji mkubwa wa fialamu hapa , Marehemu  George Tyson   amesema kuwa  siku ya msiba wa baba yake alishangaa sana kuona  watu wengi nyumbani kwao na kuamini kuwa  baba yake  ni mtu maarufu katika jamii.

Ikiwa ni mwaka mmoja sasa umepita tangu baba yake afariki dunia,  Sonia akiongea kwenye kipindi  cha filamunata  alisema kuwa mbali  na  baba yake ni kitendo  ambacho hatokisahu  katika maisha yake  lakini anajikaza  na kujipa moyo kwa sababu ni...

 

5 years ago

BBCSwahili

Siku ya akinababa duniani: Maisha ya baba muendeshapikipiki anayelea watoto wadogo peke yake

Kennedy Mwangi Washira ni baba Mwendeshapikipiki anaewalea watoto wawili baada ya kuachwa na mke wake ambaye alikua mlevi wa kupindukia. Katika siku ya hii ya Baba au Akinababa duniani, amezungumza na BBC huhusu maisha yake ya malezi na kutoa ushauri akinababa wengine wanaopitia changamoto za kuwalea watoto wao peke yao.

 

9 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZ....: RAIS MAGUFULI ATANGAZA SIKU YA UHURU KUWA SIKU YA KUFANYA KAZI

Kwa mujibu wa  Sheria ya Sikukuu za Kitaifa  (The Public Holidays Act, Cap 35) pamoja na Sheria zingine zinazompa mamlaka Rais kutangaza siku yoyote kuwa sikukuu au mapumziko,  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ameamua kuwa maadhimisho ya Sherehe za Uhuru na Jamhuri zitakazofanyika tarehe 9 Desemba, 2015, yatumike  kwa kufanya kazi.  
Kwamba maadhimisho ya Uhuru ya mwaka huu  (2015) yatatumika kama kichocheo cha kujenga tabia ya kufanya kazi...

 

10 years ago

Bongo5

Mr. Okoye (Baba yao P-Square) aliyefariki Nov 24, 2014 Kuzikwa leo Jan 30, 2015

Taarifa iliyowashtua wengi ni kuwa baba mzazi wa mapacha Peter na Paul wa kundi la P-Square la Nigeria, Mr. Moses Okoye aliyefariki dunia November 24 mwaka jana hakuzikwa mpaka sasa. P-Square na baba yao wakati wa mazishi ya mama yao Mzee huyo anatarajiwa kuzikwa leo Ijumaa January 30 huko nyumbani kwao Ifite Dunu, Anambra State. […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani