Yote Uliyowahi Kutaka Kujua Kuhusu Mkito.com: Mahojiano Na Mwanzilishi Mwenza,Sune Mushendwa
Sune Mushendwa
Kwa miaka nenda rudi, wasanii wa kitanzania walikuwa na kilio kinachofanana. Ungekaa pembeni bila kuwaona, ungedhani kutokana na mwangwi wa kilio chao, anayelia ni mmoja. Hapana. Wote walikuwa [na pengine bado wanaendelea kulia] kutokana na kunyonywa “jasho lao”.
Kimsingi “jasho” wanalolilia limekuwa ni soko na usambazaji. Kipaji unacho na watu wanakubali kazi zako. Tatizo utaifikishaje kazi yako kwa mashabiki zako? Ni wazi kwamba unahitaji msaada wa kimasoko na usambazaji....
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi05 Jan
Yote Uliyowahi Kutaka Kujua Kuhusu Mkito.com: Mahojiano ya Bongo Celebrity na Mwanzilishi Mwenza,Sune Mushendwa
Kwa miaka nenda rudi, wasanii wa kitanzania walikuwa na kilio kinachofanana. Ungekaa pembeni bila kuwaona, ungedhani kutokana na mwangwi wa kilio chao, anayelia ni mmoja. Hapana. Wote walikuwa [na pengine bado wanaendelea kulia] kutokana na kunyonywa “jasho lao”. Kimsingi “jasho” wanalolilia limekuwa ni soko na usambazaji. Kipaji unacho na watu wanakubali kazi zako. Tatizo utaifikishaje kazi yako kwa mashabiki zako? Ni wazi kwamba unahitaji msaada wa kimasoko na usambazaji....
10 years ago
Michuzi18 Aug
10 years ago
VijimamboGWAJIMA ANALO SASA SERIKALI KUTAKA KUJUA NINI TOFAUTI YA YELLOW NA ORANGE
10 years ago
VijimamboKESHO JUMATATU MAHOJIANO YA HUYU NA YULE USIKOSE KUJUA USIRI WA MAISHA YA LINDA
5 years ago
BBCSwahili30 Mar
Coronavirus: Unachopaswa kujua kuhusu ngono na virusi vya corona
10 years ago
Vijimambo