Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yote Uliyowahi Kutaka Kujua Kuhusu Mkito.com: Mahojiano ya Bongo Celebrity na Mwanzilishi Mwenza,Sune Mushendwa

Sune Mushendwa-Mkito.com  Sune Mushendwa
Kwa miaka nenda rudi, wasanii wa kitanzania walikuwa na kilio kinachofanana. Ungekaa pembeni bila kuwaona, ungedhani kutokana na mwangwi wa kilio chao, anayelia ni mmoja. Hapana. Wote walikuwa [na pengine bado wanaendelea kulia] kutokana na kunyonywa “jasho lao”. Kimsingi “jasho” wanalolilia limekuwa ni soko na usambazaji. Kipaji unacho na watu wanakubali kazi zako. Tatizo utaifikishaje kazi yako kwa mashabiki zako? Ni wazi kwamba unahitaji msaada wa kimasoko na usambazaji....

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Yote Uliyowahi Kutaka Kujua Kuhusu Mkito.com: Mahojiano Na Mwanzilishi Mwenza,Sune Mushendwa

Sune Mushendwa-Mkito.com

Sune Mushendwa

Kwa miaka nenda rudi, wasanii wa kitanzania walikuwa na kilio kinachofanana. Ungekaa pembeni bila kuwaona, ungedhani kutokana na mwangwi wa kilio chao, anayelia ni mmoja. Hapana. Wote walikuwa [na pengine bado wanaendelea kulia] kutokana na kunyonywa “jasho lao”.

Kimsingi “jasho” wanalolilia limekuwa ni soko na usambazaji. Kipaji unacho na watu wanakubali kazi zako. Tatizo utaifikishaje kazi yako kwa mashabiki zako? Ni wazi kwamba unahitaji msaada wa kimasoko na usambazaji....

 

10 years ago

Michuzi

#TipsForLife by bongo celebrity

 Don't know what to cook but have few stuff in the fridge? On www.supercook.com you can enter the ingredients you have readily available and it will tell you what meals you can make as well as how you can make them.
#TipsForLife: You can go on  www.NameChk.com    to see every website where your username has been used.
#TipsForLife Are Brought To You By www.BongoCelebrity.com

 

10 years ago

Vijimambo

GWAJIMA ANALO SASA SERIKALI KUTAKA KUJUA NINI TOFAUTI YA YELLOW NA ORANGE

Dola ni Habari Nyingine,Gwajima DOLA imemfikia,hawana papara,wanakwenda naye taratibu.

 

10 years ago

Vijimambo

KESHO JUMATATU MAHOJIANO YA HUYU NA YULE USIKOSE KUJUA USIRI WA MAISHA YA LINDA

NI MENGI AMEZUNGUMUZA AMBAYO MIMI NA WEWE HATUKUYAJUAKesho Jumatatu katika kipindi cha huyu na yule cha mahojiano na mwanamitindo mbunifu wa LB kutoka Atlanta, Georgia atakapoelezea historia yake yenye milima na mabonde historia ya maisha yake yenye huzuni na furaha wakati mwingine Linda akitokwa na machozi kwa kukumbuka maisha aliyopitia. Je Mume wake Mali walijuana nae wapi? na mengine mengi kuhusu maisha yake ikiwemo kampuni yake ya LB na malengo yake ya kupeperusha bendera ya Tanzania...

 

10 years ago

GPL

CATHY ADAIWA KUTAKA KURUDI BONGO MOVIE

Stori: Hamida Hassan
STAA wa filamu za kibongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’ ambaye aliripotiwa kuondoka katika kundi maarufu la Bongo Movie Unity, anadaiwa kutaka kurejea kundini baada ya kuona anakosa madili. Staa wa filamu za kibongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’. Chanzo kilicho karibu na msanii huyo kimesema maisha mazuri aliyokuwa akiishi ndani ya kundi hilo, kwa kupata mishemishe za kila mara, ndizo hasa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani