Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Young D kuibuka na Rock Star

KINDA wa muziki wa hip hop nchini, Young D, anatarajia kuachia kibao chake kipya hivi karibuni kinachokwenda kwa jina la ‘Rock Star’. Young D, alishawahi kutamba na kazi zake nyingi ikiwamo ‘Boma la Utete’ iliyofanya vizuri katika tasnia ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBC

The rock star helping an airline fly

The African airline getting help from Iron Maiden's frontman

 

10 years ago

Vijimambo

WINDHOCK YAKUTANISHA MARAFIKI ROCK BOTTOM NDANI YA ROCK CITY

Meneja mauzo wa Kampuni ya Mabibo Beer Godfrey M. ambao pia ni wasambazaji wa bia ya Windhock, akitoa maelezo ya ubora wa bia hiyo kwenye hafla maalum iliyoandaliwa na kampuni hiyo mahsusi kwaajili ya kuwakutanisha marafiki na kufurahia uzuri wa kinywaji hicho. Mpango mzima ulifanyika ndani ya Club Rock Botton, Gold Crest Hotel jijini Mwanza.Kulia ni Meneja mauzo wa Kampuni ya Mabibo Beer Godfrey M. akifuatiwa na Maafisa wengine toka kampuni hiyo Rahim Kabyemela (katikati) na Mr. Okere...

 

9 years ago

Bongo5

Young Killer ajiunga na kundi la Mtu Chee, achukua nafasi ya Young Dee aliyejitoa

Baada kuwa kimya kwa takribani miaka miwili, Kundi la Mtu Chee lililokuwa linaundwa na rappers watatu, Ibrahim Mandingo a.k.a Country Boy, David Genzi a.k.a Young Dee pamoja na Boniventure Kabogo a.k.a Stamina linarudi rasmi likiwa na mabadiliko. Country Boy Member na mmoja wa waanzilishi wa kundi hilo Country Boy amesema kuwa Mtu Chee imepata member […]

 

9 years ago

Bongo5

Music: Young Scooter Feat. Young Thug — We Ready

Young Scooter hasn’t released much over the last six months, but he’s now gearing up for the release of his next mixtape, Married to the Streets 2. He’s just shared a first taste with “We Ready,” which features Young Thug. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari […]

 

5 years ago

Express.Co.Uk

Star Betelgeuse supernova: ESO reveals changing surface of strange star

Star Betelgeuse supernova: ESO reveals changing surface of strange star  Express.co.uk“All’s Quiet on Betelgeuse” –Prelude to a Realtime Supernova?  The Daily Galaxy --Great Discoveries ChannelVery Large Telescope Captures Unprecedented Dimming of Betelgeuse  SciTechDailyThe Further Adventures of Betelgeuse, the Fainting Star  The New York TimesWhen Betelgeuse goes supernova, what will it look like from Earth?  Astronomy MagazineView Full coverage on Google...

 

9 years ago

Bongo5

Stamina aondoa utata kuhusu Young Killer kuziba nafasi ya Young D kwenye Mtu Chee

mtu chee2Kulikuwa na utata kuhusu member mpya wa kundi la Mtu Chee ambalo hapo mwanzo liliundwa na rappers watatu, Stamina, Young D na Country Boy. Baada ya taarifa za Young Dee kuondoka kwenye kundi hilo, kulikuwa na taarifa kuwa Young Killer ambaye ameshiriki kwenye wimbo mpya wa kundi hilo, ‘Mtu Tatu’, kuwa ndio member mpya wa […]

 

9 years ago

Bongo5

Young Killer atoa ufafanuzi kuhusu kama kweli amejiunga rasmi Mtu Chee, na kama ana beef na Young Dee baada ya kum-unfollow Instagram

Wiki iliyopita mmoja wa waanzilishi wa kundi la Mtu Chee, Country Boy alisema kuwa Young Dee amejiengua kwenye kundi hilo na nafasi yake imechukuliwa na Young Killer. Wiki hii kuna cover imeanza kusambazwa ya ngoma mpya ya Mtu Chee ambayo kweli wanaonekana Country Boy, Stamina na Young Killer. Bongo5 imemtafuta Young Killer kutaka kufahamu kuhusu […]

 

9 years ago

GPL

DK. SLAA KUIBUKA JANGWANI... 90%

Na Richard Manyota USHAWISHI mkubwa umefanywa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhakikisha kuwa, katibu mkuu aliye mapumzikoni wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wallboard Slaa anashiriki kwenye kampeni ya chama hicho tawala, Uwazi Mizengwe limeambiwa.  Dk. Wallboard Slaa. Chanzo kutoka ndani ya CCM kilisema hivi karibuni kuwa, mazungumzo yamefanikiwa kwa kiwango kikubwa na kwamba upo uwezekano wa asilimia 90 kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani