DK. SLAA KUIBUKA JANGWANI... 90%
![](http://api.ning.com:80/files/t3tIV4vY4JqDwBmwPPatOHjxjcDajDw8mZxzDswWDXn*jWF-U4ZgRmYMttrpRh6urSl9bDaAcpN7-pgx9nzNw0rHAp05KgCk/slaa.jpg?width=650)
Na Richard Manyota USHAWISHI mkubwa umefanywa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhakikisha kuwa, katibu mkuu aliye mapumzikoni wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wallboard Slaa anashiriki kwenye kampeni ya chama hicho tawala, Uwazi Mizengwe limeambiwa. Â Dk. Wallboard Slaa. Chanzo kutoka ndani ya CCM kilisema hivi karibuni kuwa, mazungumzo yamefanikiwa kwa kiwango kikubwa na kwamba upo uwezekano wa asilimia 90 kwa...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboMKE HALALI WA NDOA WA DK.WILBROD SLAA, MBUNGE ROSE KAMILI AMLIPUA DR SLAA
Mbunge wa Viti Maalumu kupitia chadema,Rose Kamili,akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo jioni kuhusiana na tuhuma alizozitoa mume wake kwamba waliishi kwa maisha ya kula mihogo na familia yake ili kuhakikisha chadema inastawi na kuimarika jambo ambalo si la kweli walikuwa na maisha mazuri ya kawaida tu na kusema kuwa Dk.Slaa anapaswa awaombe radhi wataznzania kwa kufafanisha kula mihogo kuwa ni umaskini na kuongeza kwa kusema mbona ukienda katika mahoteli makubwa...
11 years ago
Tanzania Daima19 Jul
Young D kuibuka na Rock Star
KINDA wa muziki wa hip hop nchini, Young D, anatarajia kuachia kibao chake kipya hivi karibuni kinachokwenda kwa jina la ‘Rock Star’. Young D, alishawahi kutamba na kazi zake nyingi ikiwamo ‘Boma la Utete’ iliyofanya vizuri katika tasnia ya...
11 years ago
Tanzania Daima01 Feb
Shilole kuibuka na ‘Chuna Buzi’
MSANII wa miondoko ya mduara nchini, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, anatarajia kuachia ngoma mpya inayokwenda kwa jina la ‘Chuna Buzi’, hivi karibuni. Mwanadada huyo ambaye anatamba na wimbo ‘Nakomaa na Jiji’,...
10 years ago
Habarileo31 Mar
Mapya ya Gwajima yazidi kuibuka Dar
MAPYA yamezidi kuibuka katika sakata la Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Joseph Gwajima, baada ya kuthibitika kwamba bastola iliyokamatwa katika harakati za kile kinachotajwa kutaka kumtorosha kutoka katika Hospitali ya TMJ, Dar es Salaam, ni mali yake.
10 years ago
Vijimambo12 Oct
KIBIRA FILMS ITERNATIONAL KUIBUKA NA MOVI NYINGINE
You are...
10 years ago
Mtanzania11 Jun
Kayala kuibuka na kibao cha Amani Tanzania
NA MWANDISHI WETU
MWIMBAJI wa nyimbo za injili, George Kayala yupo katika hatua za mwisho kukamilisha wimbo maalumu wa kuombea Amani ya Tanzania katika kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Kayala alisema kwamba, kampuni ya Freshas inayojihusisha na usambazaji wa filamu za Bongo ndiyo inasimamia zoezi zima la kurekodi wimbo huo.
“Ninakamilisha wimbo wangu wa kuombea amani ambao nimeupa jina la ‘Tuilinde Amani Yetu Tanzania,’’ alisema Kayala.
Naye Mkurugenzi wa...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-qnSVIhct9Dc/VRlv20bKhiI/AAAAAAAC2kI/B6eVo98l5yo/s72-c/TAFA%2B1.jpg)
NANI KUIBUKA KINARA WA TUZO ZA FILAMU TANZANIA!
![](http://2.bp.blogspot.com/-qnSVIhct9Dc/VRlv20bKhiI/AAAAAAAC2kI/B6eVo98l5yo/s1600/TAFA%2B1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-tIkh65Ea6sA/VRlv2_AG6ZI/AAAAAAAC2kM/8dX4s6_uaoc/s1600/TAFA%2B2.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vnQhPUwEod2k1RXxi7th5*XFdibhDIUydpR0nqkN0foNiuO1g*aDLUhczvVAVD2uB9Lwgzxw2L8sVtm5yL-6njUJGLijSSeL/ArsenalVsChelsea.jpg?width=650)