Shilole kuibuka na ‘Chuna Buzi’
MSANII wa miondoko ya mduara nchini, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, anatarajia kuachia ngoma mpya inayokwenda kwa jina la ‘Chuna Buzi’, hivi karibuni. Mwanadada huyo ambaye anatamba na wimbo ‘Nakomaa na Jiji’,...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo509 Oct
Music: Fraga — Kama Buzi
10 years ago
Bongo Movies04 Jul
Mwanaume aliyezaa na Shilole Atoboa Haya Kuhusu Yeye na Shilole
Yule mwanaume aliyezaa na Staa wa Bongo Movies na Fleva,Shilole,aitwaye Elias Makala ameibuka na kuzungumza na U heard na Soudy Brown kuwa hakuwahi kumbaka msaniii huyo kama ambayo anazungumza kwenye vyombo vya habari.
‘’Mimi namshangaa sana Shilole anavyosema kuwa nilimbaka,sijawahi kumbaka nilikuwa naishi naye kama mume na mke kwa zaidi ya miaka saba, na nilimuuliza kwanini anasema uongo kuwa nilimbaka alinijibu kuwa habari hiyo inamsaidia kumpaisha (kick) kwenye muziki wake,’’alisema...
10 years ago
Bongo Movies11 May
Kauli ya Shilole na Mchumba Wake Juu ya Picha Chafu za Shilole Akiwa Stejini
Haya ndiyo maelezo ya wawili hao kuhusiana na picha za mwanadada shilole zikimuonyesha wazi sehemu ya kifua chake wakati akiwa stejini anatumbuiza huko nchini Ubelgiji.
Show ni movement na uwezi mkataza mtu kupiga picha ukiwa kwa stage'na kuna nguo za show na nguo za kutoka out kikawaida'ukiruka ruka sana sidiria ni rahisi kuchomoka akina dada mnafaham na mtu yupo stejini anakua hajitambui kama nini kimetokea coz yupo stejin kwenye mood ya kazi na kila mtu ni binadamu na ndio mana wengine...
10 years ago
Bongo515 Dec
Shilole: Sio kwamba nimeacha kuigiza ila nafatutia timing, asema filamu ijayo itakuwa ni true story (Shilole In Dar)
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t3tIV4vY4JqDwBmwPPatOHjxjcDajDw8mZxzDswWDXn*jWF-U4ZgRmYMttrpRh6urSl9bDaAcpN7-pgx9nzNw0rHAp05KgCk/slaa.jpg?width=650)
DK. SLAA KUIBUKA JANGWANI... 90%
11 years ago
Tanzania Daima19 Jul
Young D kuibuka na Rock Star
KINDA wa muziki wa hip hop nchini, Young D, anatarajia kuachia kibao chake kipya hivi karibuni kinachokwenda kwa jina la ‘Rock Star’. Young D, alishawahi kutamba na kazi zake nyingi ikiwamo ‘Boma la Utete’ iliyofanya vizuri katika tasnia ya...
10 years ago
Habarileo31 Mar
Mapya ya Gwajima yazidi kuibuka Dar
MAPYA yamezidi kuibuka katika sakata la Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Joseph Gwajima, baada ya kuthibitika kwamba bastola iliyokamatwa katika harakati za kile kinachotajwa kutaka kumtorosha kutoka katika Hospitali ya TMJ, Dar es Salaam, ni mali yake.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-qnSVIhct9Dc/VRlv20bKhiI/AAAAAAAC2kI/B6eVo98l5yo/s72-c/TAFA%2B1.jpg)
NANI KUIBUKA KINARA WA TUZO ZA FILAMU TANZANIA!
![](http://2.bp.blogspot.com/-qnSVIhct9Dc/VRlv20bKhiI/AAAAAAAC2kI/B6eVo98l5yo/s1600/TAFA%2B1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-tIkh65Ea6sA/VRlv2_AG6ZI/AAAAAAAC2kM/8dX4s6_uaoc/s1600/TAFA%2B2.jpg)