Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kayala kuibuka na kibao cha Amani Tanzania

GEORGE-KAYALA-2NA MWANDISHI WETU
MWIMBAJI wa nyimbo za injili, George Kayala yupo katika hatua za mwisho kukamilisha wimbo maalumu wa kuombea Amani ya Tanzania katika kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Kayala alisema kwamba, kampuni ya Freshas inayojihusisha na usambazaji wa filamu za Bongo ndiyo inasimamia zoezi zima la kurekodi wimbo huo.
“Ninakamilisha wimbo wangu wa kuombea amani ambao nimeupa jina la ‘Tuilinde Amani Yetu Tanzania,’’ alisema Kayala.
Naye Mkurugenzi wa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Amani ageuziwa kibao Bukoba

BAADHI ya madiwani na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, wamelaani kitendo cha aliyekuwa Meya wa manispaa hiyo, Anatory Amani cha kuweka pingamizi mahakamani ili...

 

10 years ago

Michuzi

NANI KUIBUKA KINARA WA TUZO ZA FILAMU TANZANIA!

  Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania Simon Mwakifwamba(kulia) akielezea jambo kwa wana habari(hawapo pichani) wakati wa kutangaza walioingia katika hatua ya mwisho ya kushindania Tuzo za Filamu Tanzania leo jijini Dar es Salaam katika mkutano na wana habari uliofanyika katika hotel ya New Africa ya jijini Dar es Salaam, kulia kwake ni Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya tuzo hizo Caroline Gul na mmoja wa wadhani kutoka International Eye Hospital Dr. Recep Yujel.Jaji mkuu katika mchakato...

 

9 years ago

Michuzi

WADAU WA AMANI MKOA WA SHINYANGA WAKUTANA KUJADILI JINSI YA KUDUMISHA AMANI KIPINDI CHA UCHAGUZI

Hapa ni katika ukumbi wa Vigirmark Hotel mjini Shinyanga ambako jana Jumanne,Oktoba 20,2015,wadau mbalimbali wa amani mkoani Shinyanga wamekutana kwa ajili ya majadiliano ya ushirikiano wa kudumisha amani katika kipindi cha uchaguzi mkuu 2015.Kikao hicho kimeandaliwa na uongozi wa mkoa wa Shinyanga likiwemo jeshi la polisi kwa kushirikiana na Shirika la Save The Children linalojihusisha na utetezi wa haki za watoto.
Mambo kadha wa kadha yamejadiliwa ikiwemo kuhakikisha ulinzi na usalama wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

BASATA yafungia kibao cha Snura

BARAZA la Sanaa la Taifa (BASATA), limeifungia video ya wimbo ‘Nimevurugwa’ ya mkali wa muziki wa mduara, Snura Mushi ‘Snura’ kwa madai ya kukosa vigezo vya kimaadili kwa jamii. Akizungumza...

 

10 years ago

Michuzi

TUTASHIRIKIANA NA WAPENDA AMANI KUISAIDIA DRC KUWA NA AMANI - TANZANIA

Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Ramadhan Mwinyi akizungumza wakati wa Mkutano wa Kamati ya Nne ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa iliyokuwa ikijadili ajenda kuhusu tathmini ya jumla ya Operesheni za Ulinzi wa Amani za Umoja wa Mataifa. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kati ya nchi zinazochangia wanajeshi wake katika operesheni hizo za ulinzi wa amani. Sehumu ya wajumbe wa Kamati ya Nne ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, wakifuatilia...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya TRASWORLD yazindua huduma zake katika kiwanja cha ndege cha Kimataifa cha Abeid Amani Karume Zanzibar

DSC_0022

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akikata utepe kuzindua huduma za Kampuni ya Trasworld Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, (kulia) Mwenyekiti wa Transworld Abdallah Al Suleimany na (kushoto) Naibu Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Issa Haji Ussi Gavu.

DSC_0031

Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi akiteremka kwenye ndege ya mizigo ya Astral baada ya uzinduzi wa Kampuni ya Trasworld.

DSC_0053

Meneja Mkuu wa Kampuni ya Trasworld hapa Zanzibar Hassan...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani