Young Killer agwaya kutoa albamu
Rapper kutoka Mwanza, Young Killer amesema albamu yake ipo tayari lakini anashindwa kuitoa kutokana na kuhofia hasara.
Rapa huyo ambaye ameachia wimbo mpya, ‘Popote Kambi’ hivi karibuni, ameiambia Bongo5 kuwa kinachomkwamisha kuitoa albamu hiyo ni kukosa wasambazaji.
“Sasa hivi nina nyimbo nyingi ambazo nina uwezo wa kuzifanya albamu. Redioni nina ngoma zaidi ya saba na nyumbani binafsi na ngoma karibia nane, hiyo tayari ni albamu,” amesema.
“Nikipata mtu ambaye anaweza akaihitaji,...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo508 Dec
Roma agwaya kutoa wimbo aliokuwa auachie siku ya uchaguzi

Unakumbuka siku kadhaa kabla ya uchaguzi Roma aliahidi kuwa angeachia wimbo mpya siku ya uchaguzi?
Hata hivyo wimbo huo haukutoka na alikaa kimya kwa wiki kibao kiasi ambacho mashabiki wake wakaanza kuwa na hofu.
Awali rapa huyo aliahidi kuukabidhi wimbo huo kwa BASATA kabla ya kuuachia. Amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio kuwa aliamua kuachana na kazi hiyo ili kulinda sanaa yake.
“Wimbo niliotoa na Baghdad sio ile kazi ambayo niliahidi kutoa siku ya uchaguzi, kuna...
11 years ago
Michuzi18 Feb
10 years ago
Bongo507 Oct
Young Killer ajiunga na kundi la Mtu Chee, achukua nafasi ya Young Dee aliyejitoa
10 years ago
Bongo502 Nov
Stamina aondoa utata kuhusu Young Killer kuziba nafasi ya Young D kwenye Mtu Chee

10 years ago
Bongo513 Oct
Young Killer atoa ufafanuzi kuhusu kama kweli amejiunga rasmi Mtu Chee, na kama ana beef na Young Dee baada ya kum-unfollow Instagram
11 years ago
Tanzania Daima01 Feb
Young Killer arudi shule
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Erick Msodoki ‘Young Killer’, ametimiza ndoto zake za kurudi shule ambapo sasa anasomea teknolojia ya mawasiliano (IT). Nyota huyo chipukizi ambaye amejizolea umaarufu kupitia...
10 years ago
Bongo512 Sep
Music: Young Killer — Mtanzania
11 years ago
GPL13 Jul