Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yvonne Nelson; umaarufu unazidisha kasi ya biashara yake

Kadiri siku zinavyosonga mbele sanaa nayo inazidi kuwa chanzo kikubwa cha ajira kwa vijana wengi kutokana na kukubalika kwake huku mashabiki wake wakiongezeka kila kukicha.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

YVONNE NELSON AHAMISHIA MAPENZI YAKE KWA MUNGU

Mwigizaji Yvonne Nelson wa Ghana. MWIGIZAJI Yvonne Nelson wa Ghana ambaye aliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwimbaji Iyanya wa Nigeria, na baadaye uhusiano wao huo ukavunjika na kumwacha na kile alichokisema majonzi makubwa, amesema amempata mpenzi wake mpya ambaye ni Mungu. Mwigizaji huyo mrembo alisema majuzi: “Mapenzi yangu ya siku nyingi yako kwa Mungu, ambaye amekuwa upande wangu katika furaha na… ...

 

10 years ago

GPL

IYANYA: MIMI SI WA KWANZA KUMPAGAWISHA YVONNE NELSON

Mwanamuziki wa Nigeria, Iyanya. Lagos, Nigeria
MWIGIZAJI wa kike wa Ghana, Yvonne Nelson, amesema wiki kadhaa zilizopita katika mahojiano kwamba mwanamuziki wa Nigeria, Iyanya, ndiye mtu kwa kwanza ambaye aliuvunjavunja zaidi moyo wake kwa penzi kubwa ambalo alilolionyesha kwake. Mwigizaji wa kike wa Ghana, Yvonne Nelson. Hata hivyo, mwanamuziki huyo alipofanya mahojiano na kituo cha televisheni cha MTV, alisema… ...

 

9 years ago

GPL

USTAA UNA RAHA YAKE WADOGO, UMAARUFU MKUBWA

North West. WAKATI watu mbalimbali wakihangaika kutafuta umaarufu kwa njia nyingi hadi wengine kufikia hatua ya kujidhalilisha kwa kujinadi nusu utupu, kwa baadhi ya watu hasa watoto wa mastaa ni tofauti sana kwa kile kinachotajwa kama kuzaliwa na bahati kubwa ya kuwa na umaarufu kupitia wazazi wao. Blue Ivy. Baadhi ya watoto hao kinyumbaninyumbani na mamtoni ni kama wafuatao:Blue Ivy Ni mtoto pekee wa mwanamuziki Beyonce na...

 

10 years ago

Bongo Movies

Faiza Ally Afunguka Kuhusu Mavazi Yake, Mtoto, Dini, Umaarufu…..

Staa wa Bongo Movies, Faiza Ally  amefunguka mengi kuhusu yeye mwenyewe kwenye kipindi cha Nirvana kinachorushwa na EATV usiku wa jana.

Ishu kubwa ilikuwa kuhusu mavazi yake “Napenda kuvaa vitu ninavyovaa, sina mavazi special naweza kuvaa vyovyote, niliipenda idea ya kuvaa nepi (diapers) na sina tatizo nayo kabisa”

Faiza ni mama wa mtoto mmoja wa kike, kwenye upande wa malezi ikoje? “Mimi ni mama mzuri sana, ninamtazama mtoto wangu saa 24… mavazi yangu hayaingiliani kabisa na malezi ya...

 

10 years ago

CloudsFM

Faiza Ally Afunguka Kuhusu Mavazi Yake, Mtoto, Dini, Umaarufu Wake

Staa wa Bongo Movies, Faiza Ally  amefunguka mengi kuhusu yeye mwenyewe kwenye kipindi cha Nirvana kinachorushwa na EATV usiku wa jana.

Ishu kubwa ilikuwa kuhusu mavazi yake “Napenda kuvaa vitu ninavyovaa, sina mavazi special naweza kuvaa vyovyote, niliipenda idea ya kuvaa nepi (diapers) na sina tatizo nayo kabisa”

Faiza ni mama wa mtoto mmoja wa kike, kwenye upande wa malezi ikoje? “Mimi ni mama mzuri sana, ninamtazama mtoto wangu saa 24… mavazi yangu hayaingiliani kabisa na malezi ya mtoto...

 

9 years ago

Michuzi

Mshindi wa Jaymillions na mafanikio yake: Ajenga nyumba ya kisasa na kuishi na familia yake goba, kufungua biashara

Mmoja ya washindi wa kitita cha shilingi Milioni 100 kupitia promosheni ya Jaymillions iliyokuwa inaendeshwa na Vodacom Tanzania iliyomalizika mwezi Aprili mwaka huu Irene Mrema, amesema tangu aibuke na ushindi amepata mafanikio makubwa mojawapo ikiwa ni kuweza kujenga nyumba ya kuishi na familia yake maeneo ya Goba nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam. “Nashukuru Mwenyezi Mungu kwa kunikwamua kimaisha kupitia Jaymillion ya Vodacom kwa kuwa imeleta mafanikio makubwa katika maisha yangu na...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI HASUNGA AFUNGUA MAONESHO YA KILIMO BIASHARA 2020 TARI ILONGA, AGUSWA NA KASI YA TEKNOLOJIA KWENYE KITUO


Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga, akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI) Taifa, Dk. Yohana Budeba, alipowasili kufungua Maonesho ya Kilimo Biashara 2020 yaliyofanyika kwenye Kijiji cha Majambaa Kata ya Msowero, Kilosa mkoani Morogoro jana. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI) Dk. Geofrey Mkamilo.



Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga, akisalimiana na Mkurugenzi wa Kituo cha Utafiti wa Kilimo TARI Ilonga, Dk.Joel Meliyo...

 

10 years ago

Michuzi

Tanzania kuboresha Miundombinu yake ili kuongeza kasi ya Uwekezaji

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Mhe. Mhandisi Christopher Chiza, akitoa hotuba yake baada ya ufunguzi wa kongamano la Biashara na Uwekezaji kati ya nchi ya Comoro na Tanzania kwa wadau na wafanyabiashara kutoka Tanzania (hawapo pichani). Kongamano hilo limeanza tarehe 23 Aprili, 2015 likiwa na lengo la kufungua fursa mpya za biashara na uwekezaji nchini Tanzania na Comoro. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Mhe. Mhandisi ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani