Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZAMARADI:Natafuta Muigizaji Msichana!!!

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, mtangazaji na muongozaji filamu Zamaradi Mtetema, ametoa fursa hii.

“Kwa wale wote wenye ndoto za kuwa WAIGIZAJI WAKUBWA na kama UNA KIPAJI CHA UKWELI hii inakuhusu!!! Ntatangaza rasmi tarehe ya USAILI na MAHALA pa usaili kwa ajili ya filamu MPYA inayotarajiwa kuanza kushutiwa mwishoni mwa mwezi huu ama mwanzoni mwa mwezi unaokuja INSHA'ALLAH!!!
Nafasi ni MOJA tu.. na anaetafutwa hapa ni MSICHANA ambae ndio atakuwa kama muhusika mkuu wa filamu...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

10 years ago

GPL

NATAFUTA KAZI NIMNADI RAIS AJAYE!

UCHAGUZI Mkuu wa tano wa Tanzania katika mfumo wa vyama vingi vya siasa unatazamiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. Ingawa haijafahamika tarehe wala ni nani hasa atapewa nafasi hiyo ya kumrithi Jakaya Kikwete, angalau majina kadhaa yanatajwa, kutoka kambi zote. Wapo wanaotajwa kutoka CCM na kambi ya upinzani kwa ujumla wao, ambao kwa jinsi tunavyoendelea, ni wazi kuwa watawakilishwa na mgombea kutoka kundi la Ukawa. Kiuhalisia, hawa...

 

10 years ago

Vijimambo

Ray C : Naomba kuwatangazia kuwa natafuta mchumba wa kuishi naye milele! Atoa vigezo 10 vya mume amtakaye


Msanii wa muziki Rehema Chalamila aka Ray C amefungua mlango kwa mwanaume yoyote anayetaka kumuoa ajitokeze ilimradi awe na vigezo 10 ambavyo ameviainisha.
Kupitia ukurasa wake wa instagram Ray C ameandika:
“Habari zenu wapendwa wote dunia nzima!Leo na habari nzuri sana kwenu,Naomba kuwatangazia kuwa natafuta Mchumba wa kuishi nae milele!nataka niwe nae milele na nimzalie watoto wawili wa kike na wakiume!!!!
Ila naomba niwambie kabisa masharti
1.Awe mpole ili nikikasirika anibembeleze
2.Awe...

 

11 years ago

GPL

WOLPER, ZAMARADI...

Jacqueline Wolper. Na Shakoor Jongo
STAA wa sinema za Bongo, Jacqueline Wolper amemrushia maneno ya lawama Mtangazaji wa Kipindi cha Take One, Zamaradi Mketema kuwa ni mnafki na adui yake mkubwa katika maisha. Zamaradi…

 

10 years ago

GPL

ZAMARADI KUASILI MTOTO

Stori: Imelda Mtema Host wa Program ya Take One kupitia CloudsTV, Zamaradi Mketema ametangaza nia yake kuwa anataka kuasili mtoto ili kutimiza ndoto yake aliyokuwa nayo tangu akiwa mwanafunzi. Hosti wa Program ya Take One kupitia CloudsTV, Zamaradi Mketema. Akizungumza na mwanahabari wetu, Zamaradi ambaye pia ni mwigizaji, alisema amekuwa na nia hiyo kabla hajajaliwa mtoto hivyo hata alipopata bado anataka kutimiza ndoto yake...

 

10 years ago

GPL

ZAMARADI ANOGEWA NA KUZAA

Na Imelda Mtema
Mtangazaji wa Kipindi cha Take One, kinachorushwa kupitia Clouds TV, Zamaradi Mketema ‘Zama’ amefunguka kuwa, ataongeza tena watoto kwani tangu amejifungua mtoto wa pili ameona nyumba imekuwa na raha sana. Mtangazaji wa Kipindi cha Take One, kinachorushwa kupitia Clouds TV, Zamaradi Mketema ‘Zama’. Akipiga stori na Ijumaa hivi karibuni, Zamaradi alisema, ameshangazwa na furaha...

 

10 years ago

GPL

HAPPY BIRTHDAY ZAMARADI MKETEMA

Hosti wa Program ya Take One kupitia Clouds TV, Zamaradi Mketema. Zamaradi Mketema katika…

 

10 years ago

Bongo Movies

Vita ya Ray C na Zamaradi Yapamba Moto

Wale Mastaa waliodaiwa kuingia kwenye bifu zito, Zamaradi pamoja na Ray C, na baadae kupatana, huku chanzo cha bifu kikidaiwa kuwa ni mwanaume, bifu hilo limeibuka tena, huku chanzo kikidaiwa kuwa ni maneno ya kejeli ya mtangazaji zamaradi mketema kwa mwanamuziki Ray C.

Hivi karibuni Zamaradi aliposti picha ya mwanae kwenye mtandao wa Instagram akim wish Happy birthday, uku aki repost baadhi ya pongezi kutoka kwa baadhi ya mastaa na mashabiki mbali mbali wa mtangazaji huyo, kitendo ambacho...

 

11 years ago

GPL

KISA MTOTO WA KAJALA, ZAMARADI YAMKUTA

Jambo limezua jambo! Prizenta wa Clouds FM na TV, Zamaradi Mketema yamemkuta mazito baada ya kumwagiwa mvua ya matusi kisa kumhoji mtoto wa Kajala Masanja (jina kapuni kimaadili) juu ya ugomvi wa mama yake na Wema Isaac Sepetu. Prizenta wa Clouds FM na TV, Zamaradi Mketema. Mara baada ya Zamaradi kuzungumza na mtoto huyo kupitia Kipindi cha Leo tena ndipo mitandao ya kijamii ikalipuka kwa matusi kuwa hakupaswa kumhusisha mtoto...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani