Zantel yakabidhi kisima kwa kituo cha Watoto Wetu Tanzania
Mkuu wa Kituo cha Watoto Wetu Tanzania, Evans Tegete akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kukabidhiwa kisima kwa ajili ya kituo chake kutoka kwa kampuni ya Zantel. Kushoto kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akifuatiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Pratap Ghose.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni,Paul Makonda akizungumza wakati wa kukabidhi kisima kwa kituo cha Watoto Wetu Tanzania. Kushoto kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Zantel, Pratap Ghose.
Mkuu wa Wilaya ya...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMAKONDA AZINDUA KISIMA CHA MAJI SAFI KATIKA KITUO CHA WATOTO YATIMA CHA WATOTO WETU TANZANIA KILICHOJENGWA NA KAMPUNI YA SIMU YA ZANTEL
10 years ago
VijimamboDC WA KINONDONI, PAUL MAKONDA AZINDUA KISIMA CHA MAJI SAFI KATIKA KITUO CHA WATOTO YATIMA CHA WATOTO WETU TANZANIA KILICHOJENGWA NA KAMPUNI YA SIMU YA ZANTEL.
9 years ago
Dewji Blog02 Sep
DoubleTree Hotel watoa msaada kwa kituo cha Watoto Wetu Tanzania
Meneja Mkuu wa DoubleTree hotel Ndugu Ian Mclachlan akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh Paul Makonda Msaada wa Magoro 80 .Akipokea Msaada huo Mkuu wa Wilaya Mh Makonda ameushukuru Uongozi wa Msaada huo.Kutoka Hotel ya Double Tree ya Jijini Dar es salaam.Msaada huo umekabidhiwa na Mkuuwa Wilaya ya Kinondoni Mh Paul Makonda.Kituo Hicho kinacholea Watoto na vijana wa Mitaani na wanaoishi katika Mazingira Magumu kina Jumla ya Watoto Pamoja na Vijana 120 Kilianzishwa Mnamo mwaka 1998...
11 years ago
MichuziTBL YAPONGEZWA KWA KUJENGA KISIMA CHA MAJI KITUO CHA AFYA TUNDUMA.
10 years ago
MichuziTBL YAKABIDHI MSAADA WA KISIMA CHA MAJI KIJIJI CHA MAGOZA, MKURANGA
11 years ago
Habarileo07 Jul
TBL yakabidhi zahanati kisima cha milioni 25/-
KAMPUNI ya Bia Tanzania TBL imekabidhi hundi ya Sh milioni 25 kwa ajili ya ujenzi wa kisima kikubwa cha majisafi na salama katika zahanati ya Makuburi.
9 years ago
MichuziRAIS MAGUFULI ATOA ZAWADI ZA SIKUKUU YA KRISMASI KWA WATOTO WANAOISHI KWENYE KITUO CHA KUHUDUMIA WATOTO WA KIJIJI CHA MATUMAINI MKOANI DODOMA.
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-_pJN5v4Pp7c/VZQCxKtK_9I/AAAAAAAA3vg/1fcFhj30_H8/s72-c/DSC_2158.jpg)
TBL YAKABIDHI MSAADA WA KISIMA CHA SH. MIL. 65 RUFIJI
![](http://3.bp.blogspot.com/-_pJN5v4Pp7c/VZQCxKtK_9I/AAAAAAAA3vg/1fcFhj30_H8/s640/DSC_2158.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-HSlddCWZTwg/VZQCyfQGjhI/AAAAAAAA3vo/pehL0PiG6uQ/s640/DSC_2183.jpg)
11 years ago
MichuziTBL YAKABIDHI KISIMA CHA MAJI MJI MDOGO WA TUNDUMA