Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zantel yakisaidia Chama cha Maalbino

3

Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Pratap Ghose akikabidhi hundi ya shilingi milioni tano kwa Mwenyekiti wa Chama cha Maalbino Tanzania, Bwana Ernest Kimaya. 

2

Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Pratap Ghose (katikati) akizungumza na waandishi wa habari  juu ya ushirikiano wao na chama cha Maalbino Tanzania. Kulia ni Mkurugenzi wa Masoko wa Zantel, Bi Progress Chisenga, na Mwenyekiti wa Chama cha Maalbino Tanzania, Ernest Kimaya.

1

  Mwenyekiti wa Chama cha Maalbino Tanzania, Ernest Kimaya akizungumza na...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

ZANTEL YATEMBELEA CHAMA CHA MAALBINO TANZANIA

 Mmoja wa wafanyakazi wa Chama Cha Albino, Christina Mbedi akielezea namna Chama cha Albino kinavyofanya kazi zake kwa Meneja wa Chapa na Mawasiliano wa Zantel, Arnold Madale wakati wa ziara ya viongozi wa Zantel ofisini kwao. Anayetizama kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha Umoja wa Albino Tanzania, Ernest Kimaya.Meneja wa Chapa na Mawasiliano wa Zantel, Arnold Madale akikabidhi msaada wa vifaa vya mawasiliano kwa Mwenyekiti wa Umoja wa Chama cha Albino Tanzabua, Ernest Kimaya. Wanaotazama...

 

9 years ago

Dewji Blog

Zantel yatembelea ofisi za Chama Cha Maalbino Tanzania

1

Mmoja wa wafanyakazi wa Chama Cha Albino, Christina Mbedi akielezea namna Chama cha Albino kinavyofanya kazi zake kwa Meneja wa Chapa na Mawasiliano wa Zantel, Arnold Madale wakati wa ziara ya viongozi wa Zantel ofisini kwao. Anayetizama kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha Umoja wa Albino Tanzania, Ernest Kimaya.

2

Meneja wa Chapa na Mawasiliano wa Zantel, Arnold Madale akikabidhi msaada wa vifaa vya mawasiliano kwa Mwenyekiti wa Umoja wa Chama cha Albino Tanzabua, Ernest Kimaya. Wanaotazama...

 

10 years ago

Michuzi

Zantel yasaidia Chama Cha Maalbino Tanzania kutoa elimu kwa umma.

Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Pratap Ghose akikabidhi hundi ya shilingi milioni tano kwa Mwenyekiti wa Chama cha Maalbino Tanzania, Bwana Ernest Kimaya.  Mwenyekiti wa Chama cha Maalbino Tanzania, Ernest Kimaya akizungumza na waandishi wa habari leo juu ya ushirikiano na kampuni ya Zantel leo. Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Pratap Ghose na Mkurugenzi wa Masoko wa Zantel, Bi Progress Chisenga,   Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Pratap Ghose (katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo juu...

 

9 years ago

Michuzi

Kampuni ya TTCL Yakisaidia Vifaa Tiba Kituo cha Afya Buguruni Dar

Meneja Uhusiano wa kampuni ya TTCL, Nicodemus Thomas (wa pili kulia) akimkabidhi sehemu ya vifaa tiba Ofisa Muuguzi Mkuu wa Kituo cha Afya cha Buguruni, Alvera Mtembelea (wa tatu kushoto) vilivyotolewa na kampuni ya TTCL leo kwa Kituo cha Afya Buguruni cha jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kulia ni Ofisa Uhusiano wa TTCL, Amanda Luhanga akishuhudia zoezi hilo.Meneja Uhusiano wa kampuni ya TTCL, Nicodemus Thomas (kulia) akimkabidhi moja ya mashine ikiwa ni sehemu ya vifaa tiba Ofisa Muuguzi...

 

10 years ago

Michuzi

UJUMBE WA CHAMA CHA FRELIMO CHA MSUMBIJI WAKUTANA NA BAADHI YA WAJUMBE WA CHAMA CHA MAPINDUZI ZANZIBAR

Mjumbe wa Kamati ya CCM Taifa Bi. Khadija Hassan Aboud akimkaribisha Mbunge ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha FRELIMO cha Msumbiji Bi. Nyeleti Mondlane Ofisi kuu ya CCM Zanzibar. Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha FRELIMO cha Msumbiji Bi. Nyeleti Mondlane akisaini kitabu cha wageni alipofika Ofisi kuu ya CCM Zanzibar (kulia) Katibu wa FRELIMO Zanzibar Bw. Agostino Andrea. Kiongozi wa Ujumbe wa Chama cha FRELIMO Bi. Nyeleti Mondlane (watatu kushoto) akibadilishana mawazo na...

 

10 years ago

GPL

MAKONDA AZINDUA KISIMA CHA MAJI SAFI KATIKA KITUO CHA WATOTO YATIMA CHA WATOTO WETU TANZANIA KILICHOJENGWA NA KAMPUNI YA SIMU YA ZANTEL

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu ya Zantel, Pratap Ghose (katikati), akimkaribisha  Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda wakati akiwasili kwenye hafla ya kuzindua kisima cha maji safi katika Kituo cha Watoto Yatima cha Watoto Wetu Tanzania kilichopo Mbezi Suka Dar es Salaam jana. DC Makonda akisaini katika kitabu cha wageni katika kituo hicho.… ...

 

10 years ago

Vijimambo

DC WA KINONDONI, PAUL MAKONDA AZINDUA KISIMA CHA MAJI SAFI KATIKA KITUO CHA WATOTO YATIMA CHA WATOTO WETU TANZANIA KILICHOJENGWA NA KAMPUNI YA SIMU YA ZANTEL.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu ya Zantel, Pratap Ghose (katikati), akimkaribisha Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda wakati akiwasili kwenye hafla ya kuzindua kisima cha maji safi katika Kituo cha Watoto Yatima cha Watoto Wetu Tanzania kilichopo Mbezi Suka Dar es Salaam jana.DC Makonda akisaini katika kitabu cha wageni katika kituo hicho.Mmoja wa vijana wa kituo hicho akiigiza igizo kuonesha changamoto zinazowakabili watoto waishio katika mazingira hatarishi.Mkuu wa Kituo cha...

 

5 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM RAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM JIJINI DODOMA


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiendesha Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 10 Juni 2020.Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akicheza Wimbo wa Hamasa ya maendeleo pamoja na Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 10 Juni 2020 kabla ya kuanza kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani