Zanzibar yashauriwa kurekebisha Katiba
 Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imeshauriwa kufanya marekebisho ya Katiba kabla ya Uchaguzi Mkuu Mwaka 2015 ili kuondoa vifungu vinavyogongana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili21 Mar
Bunge kurekebisha rasimu ya katiba TZ
11 years ago
Habarileo20 Feb
Werema: Bunge la Katiba lina mamlaka kurekebisha Rasimu
MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amesema wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wana mamlaka ya kurekebisha Rasimu ya Katiba lakini hawawezi kuondoa misingi mikuu ya kitaifa na maadili ya kijamii. Aidha, amesema madai ya kuwapo kwa rasimu vya vyama na makundi mbalimbali ni upotoshaji, ila si vyema kuzipiga mateke, bali wajumbe wazisome.
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-dzQg45BIEYc/VVnlGoazqeI/AAAAAAADnl0/Upn4sXg0aQ8/s72-c/unnamed.jpg)
KITUO CHA HUDUMA ZA SHERIA ZANZIBAR (ZLSC) WATOA ELIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA WANANCHI ZANZIBAR.
![](http://2.bp.blogspot.com/-dzQg45BIEYc/VVnlGoazqeI/AAAAAAADnl0/Upn4sXg0aQ8/s640/unnamed.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-y_X_hMwIXIs/VVnkywDaS0I/AAAAAAADnlU/6oEYq3pzs7Y/s640/unnamed.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-G1YcW7fKNKg/VVnk5gN8cAI/AAAAAAADnlc/LJ5sHj7BTsc/s640/unnamed.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/--tfneBVi_b0/VVnk95eKxYI/AAAAAAADnlk/xgYztjPXXuE/s640/unnamed.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-uDIQt9VMM6I/VVnlCH1Z39I/AAAAAAADnls/1YtXnjAfndI/s640/unnamed.jpg)
10 years ago
TheCitizen01 Oct
Why Zanzibar holds new Katiba to ransom
11 years ago
Habarileo18 Feb
Zanzibar gumzo Katiba mpya
WAKATI wa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wakifikiria nani atakuwa Mwenyekiti wao, wasomi karibu 100 waliokutana jana Dar es Salaam, wamejikuta wakiingia katika mjadala wa namna gani Zanzibar itambulike katika Katiba mpya.
11 years ago
Habarileo05 Mar
Katiba ya Zanzibar imekosewa-Pengo
WAKATI maandalizi ya Bunge Maalumu la Katiba yakiendelea, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, amesema Katiba ya Zanzibar imekosewa na kosa hilo linahatarisha umoja wa Taifa.
10 years ago
Mwananchi29 Aug
Kesi ya ugaidi haijavunja Katiba ya Zanzibar
11 years ago
Habarileo14 Apr
Askofu ataka Katiba ya Zanzibar irekebishwe
ASKOFU wa Jimbo Teule la Dodoma la Kanisa la Methodist, Joseph Bundala amesema ili kudumisha Muungano ni vyema Katiba ya Zanzibar irekebishwe.
10 years ago
Mwananchi20 Jan
Katiba Mpya itafungua uchumi wa Zanzibar