ZAY B FT JUMA NATURE - GADO RMX JITIRIRISHE NA HII ENZI HIZOOO
![](http://img.youtube.com/vi/_3AfKJ6RFgE/default.jpg)
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/9ASDYsaElxM/default.jpg)
10 years ago
Africanjam.Com![](http://2.bp.blogspot.com/-dThJcDiGTO8/VWBxfuNsFXI/AAAAAAAABqM/4bKUFN_pVjo/s72-c/inauma%2Bsana%2Brmx.jpg)
9 years ago
MillardAyo17 Dec
Ni Afande Sele, Alikiba, Juma Nature, Ferooz kwenye video zao enzi hizo……(+Video)
Muziki wa Bongo Fleva una safari yake ndefu tu, wengine wapo kwenye game wengine hawapo…..nakukumbusha na vitu vya zamani kidogo mtu wangu, hapa ninazo video za kitambo kidogo za mastaa mbalimbali TZ kwenye ubora wao yani enzi hizo. Ninazo video 5 zilizokuwa zikitambata enzi hizo.. Afande Sele ft Ditto –Darubini kali Mez B ft Ray […]
The post Ni Afande Sele, Alikiba, Juma Nature, Ferooz kwenye video zao enzi hizo……(+Video) appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/TxwT6t1QJRk/default.jpg)
10 years ago
CloudsFM21 Nov
WAKATI FELA ANA MPANGO WA KUMALIZA BIFU NA JUMA NATURE, NATURE ACHOMOA MCHONGO
Mkurugenzi wa kituo cha kukuza vipaji vya wasanii “Mkubwa na Wanae”, Saidi Fela ambaye pia ni kiongozi wa kundi la TMK Wanaume Family, kundi ambalo lilianzishwa mwanzoni mwa miaka ya 2000 baadaye likaja kuvunjika vipande viwili likazaliwa kundi la TMK Halisi chini ya Juma Nature, hiyo ilikuwa mwaka 2006.
Hivi karibuni Said Fela amefunguka kuwa ana mpango wa kumfuata Juma Nature ili wakae chini na kushirikiana kikazi kama zamani. Lakini alipoulizwa Juma Nature kama yuko tayari kufanya kazi na...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-0Xd6aDslgio/VVbL_AdA8kI/AAAAAAAHXgo/FgD7jvrwcKY/s72-c/unnamed.png)
10 years ago
Mwananchi25 Jun
Juma Nature awaasa waliotangaza nia
9 years ago
Mtanzania12 Nov
Juma Nature: Nitagombea ubunge 2020
NA FESTO POLEA
KIONGOZI wa kundi la Wanaume Halisi, Juma Kassim Nature, amesema matarajio yake ya kugombea ubunge yatatimia mwaka 2020 atakapogombea rasmi katika jimbo mojawapo nchini.
Nature aliwahi kutangaza nia ya kugombea ubunge kwa mwaka huu lakini hakutekeleza hilo badala yake akawa mpiga kampeni wa wasanii wenzake na viongozi mbalimbali waliokuwa wakigombea nafasi hiyo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
“Mwaka huu nilikuwa najifunza mambo mengi kupitia viongozi waliokuwa wakigombea...
9 years ago
Mtanzania09 Oct
Kampeni yawakutanisha Juma Nature, Rich One
NA MWANDISHI WETU
WASANII Juma Nature na Rich One waliowahi kuwika katika kundi la TMK Wanaume Halisi na kisha kutengana wamejikuta wakiimba pamoja katika kampeni za kumnadi mgombea wa urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli zinazoendelea katika maeneo mbalimbali nchini.
Juzi wasanii hao walipanda katika jukwaa la Uwanja wa Mashujaa mjini Moshi na kuimba pamoja nyimbo mbalimbali walizowahi kushiriki wakiwa katika kundi lao la pamoja huku mashabiki wao wengi...