Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZEC imepoteza sifa kusimamia uchaguzi Zanzibar-ADC

Mwenyekiti wa chama cha ADC, Said Miraaj Abdulla amesema Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) haiwezi kusimamia tena uchaguzi wa Zanzibar baada ya siku 90 kwa sababu ina mapungufu mengi kama yaliyobainishwa na mwenyekiti wake, Jecha Salim Jecha wakati akitangaza kufuta matokeo ya uchaguzi huo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yamefutwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC na uchaguzi utarudiwa baada ya siku 90

am4

Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.

Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti  wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde.

 

9 years ago

Vijimambo

MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR KWA TIKETI YA CHAMA CHA ADC, MH. HAMAD RASHID ACHUKUA FOMU ZEC

Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe Hamad Rashid Mohammed akiwasili katika viwanja vya Afisi ya Tume ya Uchaguzi zilioko katika Ukumbi wa Salama Bwawani Zanzibar kwa ajili ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar.Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe Hamad Rashid Mohammed akiwasili katika viwanja vya Afisi ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar zilioko katika Ukumbi wa Salama Bwawani Zanzibar kwa ajili ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar. akishindikizwa na Wanachama wa Chama chake cha ADC katika...

 

11 years ago

Mwananchi

MAADILI: MAT: IMTU imepoteza sifa

>Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), kimezitaka mamlaka zinazohusika kuchukua hatua kali za haraka dhidi ya taasisi na watu waliojihusisha na utupaji wa mabaki ya viungo vya binadamu katika Bonde la Mto Mpiji, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.

 

9 years ago

Mwananchi

Lipumba aishukia ZEC kufuta uchaguzi Zanzibar

Mwenyikiti Mstaafu wa Chama cha Wananchi Cuf, Prof Ibrahim Lipumba amesema Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salum Jecha amekiuka sheria kwa  kusitisha utangazaji wa matokeo kwani inaweza kuleta mgogoro wa kisiasa.

 

10 years ago

Mwananchi

ZEC yamjibu Maalim Seif uchaguzi Zanzibar

Siku moja baada ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad kutoa tuhuma nzito dhidi ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), kuandikisha wapigakura wasio na sifa, tume hiyo imeibuka na kukanusha vikali.

 

9 years ago

Mwananchi

ZEC yafuta uchaguzi na matokeo yake Zanzibar

Tume ya Uchaguzi Zanzibar leo imetangaza kufuta uchaguzi na matokeo yake kwa kile ilichosema ni kuwa uchaguzi huo umegubikwa na ukiukwaji na taratibu za sheria za uchaguzi.

 

5 years ago

CCM Blog

MWENYEKITI WA ZAMANI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI ZANZIBAR (ZEC), JECHA SALUM JECHA AOMBA KUWANIA URAIS ZANZIBAR


Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi visiwani Zanzibar (ZEC), Ndg, Jecha Salum Jecha leo hii Amechukua fomu ya kuwania kugombea Urais wa Zanzibar kupitia Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi



 

10 years ago

Raia Mwema

CCM Kama Babeli, imepoteza sifa na uhalali wa kutawala

KATI ya mwaka 605- 539 Kabla ya kuzaliwa Kristo (KK) na baada ya baada ya gharika, jambo muhimu l

Fred Mpendazoe

 

9 years ago

GPL

BREAKING NEWS: ZEC YAFUTA MATOKEO YA UCHAGUZI ZANZIBAR

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha. Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha ametangaza kufuta matokeo ya Uchaguzi  Zanzibar, uliofanyika Oktoba 25, 2015. Jecha amesema kuwa, ZEC imefuta matokeo ya uchaguzi kutokana na kukiukwa kwa sheria na taratibu mbalimbali za uchaguzi wakati wa utekelezaji wa zoezi hilo. Uchaguzi huo utarudiwa baada ya siku 90. TAARIFA ZAIDI HAPA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani