Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ziara ya JK ni suluhisho la matatizo Mbeya?

Mkoa wa Mbeya ni mwenyeji wa maadhimisho ya miaka 37 ya kuzaliwa kwa CCM baada ya kuunganishwa kwa vyama vya TANU na ASP Februari 5, 1977.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Ujenzi Afanya ziara Mkoani Mbeya

Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Magufuli akizungumza na Mkuu wa Wilaya ya Ileje Bi Rosemary Sitaki Sinyamule wakati wa Ukaguzi wa daraja la mto Songwe linalounganisha Wilaya ya Ileje na nchi ya Malawi.Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli katikati akikata utepe kuashiria ufunguzi wa barabara ya Isongole-Itumba km 9 katika Wilaya ya Ileje Mkoani Mbeya. Kulia ni Mbunge wa Ileje Mheshimiwa Aliko Kibona. Wengine ni Mkuu wa Wilaya ya Ileje Bi Rosemary Sitaki Sinyamule, Katibu Mkuu wa Wizara...

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Binilith Mahenge aendelea na ziara yake Mkoani Mbeya

Na Victor Mariki – Ofisi ya Makamu wa Rais.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Dk. Binilith Mahenge ameishauri Halmashauri ya Jiji la Mbeya kutafuta wawekezaji watakaotumia taka kama malighafi katika shughuli uzalishaji viwandani ili kukabiliana na uchafuzi wa mazingira jijini humo.
Ushauri huo aliutoa, akiwa katika ziara ya siku mbili mkoani humo wakati alipotembelea Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mbeya na kuzungumza na Idara ya Usafishaji na Mazingira jiji humo jana.
Aliongeza...

 

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA WAHARIRI KIWANDA CHA BIA TBL MBEYA

 WAHARIRI 22 wa Vyombo vya habari mbali mbali nchini jana walifanya ziara kwenye Kiwanda cha Kampuni ya  Bia Tanzania(TBL) wakiongozwa na Jukwaa la Wahariri Tanzania(TEF).Katika ziara hiyo Wahariri hao walipata maelezo mbali mbali kutoka kwa  Mkurugenzi Mkuu wa TBL,Roberto Jarrin kuhusu hali ya kibiashara ya kampuni hiyo pamoja na bidhaa zinazozalishwa kisha kutembelea mitambo ya kutengeneza Bia.
Meneja wa Kiwanda cha Bia Mbeya, Waziri Jemedari aliwaambia Wahariri...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU PINDA AENDELEA NA ZIARA YAKE JIJINI MBEYA


Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa na vingozi wa serikali wakati alipowasili katika soko la mwanjelwa Februari 25,2015 tayari kwa uzinduzi wa soko hilo ambalo linaloendelea kujengwa jijini Mbeya.Picha na Fadhil Atick,Globu ya Jamii.Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akisisitiza jambo wakati akiwahutubia wakazi wa mji wa Mbeya mjini mara baada ya uzinduzi wa Soko la Mwanjelwa.Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akipewa maelezo mafupi ya maendeleo ya...

 

10 years ago

Michuzi

Ziara ya naibu waziri wa maji Amos Makalla Mbeya vijijini

Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla amefanya ziara ya vijiji mbalimbali Mbeya Vijijini ambako amezindua mradi mkubwa maji vijiji vya Shongo na Igale maelfu wafurahia. Katika ziara hiyo kaagiza wakala wa visima (DDCA) kuchimba kisima kirefu kijjiji cha Mjele kutekeleza ahadi ya mhe Rais Jakaya Kikwete kuwaokoa wananchi maelfu kufuata maji umbali wa kilomita 7. Pia ametoa ahadi ya kuanza utekelezaji wa mradi wa maji wa maji vijiji vya Iwindi,Mwashiwawala na Izumbwe ambao ulisimama baada...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AANZA ZIARA YA MKOA WA MBEYA

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama mafunzo kwa vitendo yaliyokuwa yakifanywa na wanafunzi wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari ya Igomelo wilayani Mbarari akiwa katika siku ya kwanza ya ziara ya kikazi mkoani Mbeya Februari 24, 2015. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

 

10 years ago

Dewji Blog

Matukio mbalimbali ya ziara ya Waziri Mkuu Pinda Mbeya mjini na vijijini

PG4A2882

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wananchi baada ya kufungua vyumba vitatu vya Maabara katika shule ya sekondari ya Songwe mkoani Mbeya Febrari 25, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A2919

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwasikiliza wanafunzi wa shule ya sekondari ya Iwambe wilayani Mbeya wakati alipofungua na kukagua maabara tatu za shule hiyo akiwa katika ziara ya mkoa wa Mbeya Februari 25, 2015. Wapili kushoto ni mkewe Tunu na Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Norman Sigalla.

PG4A2988

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani