Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ziara ya Kinana Bukoba vijijini

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wanachama wa CCM waliokuja kumpokea alipowasili Bukoba Vijijini kwa ziara ya siku moja ya kujenga na kuimarisha chama pamoja na kuhimiza,kukagua na kusukuma utekelezaji wa ilani ya uchaguzi .

 Katibu Mkuu wa CCM akizungumza na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Bukoba Vijijini kwenye ukumbi wa Bandari ya Kemondo.

 Katibu Mkuu Ndugu Abdulrahman Kinana akijadili baadhi ya mambo yalioandikwa kwenye taarifa ya Chama wilaya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE BUKOBA VIJIJINI LEO MKOANI KAGERA.

Wananchi wa kijii cha Rukoma kata ya Rukoma wakiwa wamekusanyika wakimsilikiza Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana alipokuwa akiwahutubia katika mkutano wa hadhara jioni ya leo Bukoba vijijini.Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwahutubia Wananchi wa kijiji cha Katoro jioni ya leo wilayani Bukoba vijijini,mkoani Kagera. Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye akiwahutubia Wananchi wa kijiji cha Katoro jioni ya leo wilayani Bukoba Vijijini,mkoani Kagera.  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA AMALIZA ZIARA KOROGWE VIJIJINI




 Katibu  Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishona nguo kwenye ofisi ya Veronica Simba (kushoto) iliyopo Mombo Sokoni,kulia ni Mbunge wa Korogwe Vijijini Ndugu Stephen Ngonyani ,Katibu Mkuu alikuwa kwenye ziara ya siku moja katika wilaya ya Korogwe Vijijini ambapo licha ya kukagua miradi mbali mbali ya ujenzi wa maabara na ofisi za CCM alipata nafasi ya kuwahutubia wananchi na kuwasikiliza  .

  Katibu  Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimuelekeza Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA AMALIZA ZIARA YAKE MTWARA VIJIJINI

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi waliojitokeza kumpokea wakati akiwasili wilaya ya Mtwara kijijini. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM wilaya ya Mtwara vijijini ,Katibu Mkuu wa CCM anazunguka nchi nzima kufuatilia utekelezaji wa ilani na kuimarisha chama chetu. Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndugu Nape Nnauye akisisitiza wananchi wa kata ya Nanyamba kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kinana amaliza ziara yake Mkoani Singida kwa kuzuru Singida Vijijini

1. Mbunge wa Singida Mashariki Lazaro Nyalandu akimlaki Kinana wakati wa mapokezi katika kata ya Msisi, Singida Vijijini,  en

Mbunge wa Singida Mashariki Lazaro Nyalandu akimlaki Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana wakati wa mapokezi ya kiongozi huyo wa Chama,  katika kata ya Msisi, Singida Vijijini, jana Mei 26, 2014.

2. Kinana akivishwa mgolole  Kijiji cha Msisi kabla ya kufungua Ofisi ya CCM ya Jumuia ya Wazazi katika Kata hiyo, Singida Vijijini

Wanachama wa Jumuia ya Wazazi Kata ya Msisi wakimvalisha mgolole Kianana kabla ya kufungua tawi la Wazazi la Kata hiyo.

3. Kinana akifungua Ofisi ya CCM ya Jumuia ya Wazazi katika Kata ya Msisi, Singida Vijijini

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizindua tawi la Jumuia ya Wazazi Kata ya Msisi, wilaya ya Singiga Vijijini.

4. Kinana na Nyalandu wakishiriki kuvuna mtama shamba la mfano la mtama Kata ya  Mtinko

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akishiriki kuvuna...

 

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA KATIBU MKUU NDUGU KINANA NDANI YA JIMBO LA MOSHI VIJIJINI,LEO KUUNGURUMA JIMBO LA VUNJO MKOANI KILIMANJARO

Wakazi wa  eneo la Kwa Mangi kata ya Kibosho Kati  wakimsikiliza   Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alipokuwa akiwahutubia,Kinana aliwaeleza wananchi hao kuwa kuna baadhi ya watu wanaotaka nafasi za Uongozi wamekuwa wakijipitisha pitisha kuomba uongozi,hivyo amewaonya na kuwatahadharisha kutojipitisha pitisha kugombea nafasi za uongozi kabla ya muda kuisha na kutangazwa.  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa  Kwa Mangi kata ya Kibosho Kati ambapo...

 

10 years ago

Mwananchi

Rweikiza, Karamagi waigawa CCM Bukoba Vijijini

Vumbi la kuwania ubunge wa Jimbo la Bukoba Vijijini, limeanza kutimka hata kabla ya filimbi kupulizwa baada ya wanaotajwa kuwania nafasi hiyo pamoja na wapambe wao kuanza maandalizi kwa kasi.

 

11 years ago

Michuzi

SHULE YA MSINGI KABALE BUKOBA VIJIJINI YAPOKEA UGENI WA MRADI WA "OPPORTUNITY EDUCATION FOUNDATION" TOKA MAREKANI

Mwanafunzi wa Shuke hiyo ya Kabale iliyopo Bukoba Vijijini akimkabidhi Bw.  Joe Ricketts maua ikiwa ni ishara ya kumkaribisha mgeni huyo kutoka USA ambaye ni Mwenyekiti wa Mradi wa (Opportunity Education Foundation) kwenye shule hiyo leo hii. Bw. Joe Ricketts  kutoka USA kupitia Mradi wa (Opportunity Education Foundation)  akiingia kwenye eneo la Shule hiyo kwenye shule hiyo ya Kabale, Baada ya kupokelewa na Walimu wa Shule hiyo. Kutoka kushoto wa Pili ni Mwalimu Mkuu wa shule hiyo Bi....

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA KINANA BUKOBA MJINI LEO

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia Mkutan wa hadhara leo, kwenye Uwanja wa Mashujaa mjini Bukoba, akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama na ilani ya Uchaguzi ya CCM. (Picha na Bashir Nkoromo)Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia mkutano wa hadhara katika viwanja vya Mashujaa mjini Bukoba leo, akiwa katika ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana mkoani Kagera. Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimpongeza Mbunge wa Bukoba mjini, Hamis...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani