Rweikiza, Karamagi waigawa CCM Bukoba Vijijini
Vumbi la kuwania ubunge wa Jimbo la Bukoba Vijijini, limeanza kutimka hata kabla ya filimbi kupulizwa baada ya wanaotajwa kuwania nafasi hiyo pamoja na wapambe wao kuanza maandalizi kwa kasi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi15 Oct
Rweikiza atumia chopa kumfuata Karamagi Bukoba
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-kWtm-1R4n6Y/VXc-WqRgyUI/AAAAAAAC6Ec/N_4s79WGnfQ/s72-c/13.jpg)
KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE BUKOBA VIJIJINI LEO MKOANI KAGERA.
![](http://4.bp.blogspot.com/-kWtm-1R4n6Y/VXc-WqRgyUI/AAAAAAAC6Ec/N_4s79WGnfQ/s640/13.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-jedXJKJwK28/VXc9GbddGUI/AAAAAAAC6Dc/qEeE8-9zFdA/s640/23.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-dybZAnAEDwM/VXc8_1ccw0I/AAAAAAAC6DM/LeB_6qKBmeU/s640/21.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-t2S9tUGVcwI/VXdAibPETVI/AAAAAAAC6Ew/v78rAb4VJ60/s640/1101.jpg)
10 years ago
Dewji Blog09 Jun
Ziara ya Kinana Bukoba vijijini
![](http://4.bp.blogspot.com/-5MHzvXhT3II/VXcl3yF_5sI/AAAAAAAAdqg/vLkRHKHAOnw/s640/2.jpg)
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wanachama wa CCM waliokuja kumpokea alipowasili Bukoba Vijijini kwa ziara ya siku moja ya kujenga na kuimarisha chama pamoja na kuhimiza,kukagua na kusukuma utekelezaji wa ilani ya uchaguzi .
![](http://2.bp.blogspot.com/-xctkss9tYeY/VXcl6cDEgKI/AAAAAAAAdqw/epdWEHIliZk/s640/5.jpg)
Katibu Mkuu wa CCM akizungumza na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Bukoba Vijijini kwenye ukumbi wa Bandari ya Kemondo.
![](http://1.bp.blogspot.com/-PEmhUY-SS6s/VXcl4STIRGI/AAAAAAAAdqk/-Aom6QqzbME/s640/7.jpg)
Katibu Mkuu Ndugu Abdulrahman Kinana akijadili baadhi ya mambo yalioandikwa kwenye taarifa ya Chama wilaya...
11 years ago
Michuzi31 Jan
SHULE YA MSINGI KABALE BUKOBA VIJIJINI YAPOKEA UGENI WA MRADI WA "OPPORTUNITY EDUCATION FOUNDATION" TOKA MAREKANI
10 years ago
Mwananchi09 Mar
Mayweather,Pacquiqao waigawa Dar es Salaam
10 years ago
Daily News06 Aug
Karamagi displeased with party polls results
Daily News
FORMER Minister for Energy and Minerals and Bukoba Rural legislator, Mr Nazir Karamagi, said he does not accept the results announced by the Bukoba District Chama Cha Mapinduzi (CCM) Secretary, Mr Moris Adrian, citing several irregularities that ...
10 years ago
Tanzania Daima11 Nov
Wanafunzi shule ya Rweikiza wang’aa
WANAFUNZI wote waliohitimu elimu ya msingi mwa huu katika shule ya msingi Rweikiza, iliyopo Kata ya Maruku, Wilaya ya Bukoba mkoani Kagera, wamepata kiwango cha alama ‘A’. Huu ni mwaka...
11 years ago
Tanzania Daima18 Mar
Rweikiza aviwezesha vikundi kupata mikopo
ZAIDI ya vikundi 200 vimewezeshwa kupata mikopo isiyo na riba ya zaidi ya sh milioni 150 inayoratibiwa na Mbunge wa Bukoba Vijijini, Jasson Rweikiza. Pia mbunge huyo mapema mwaka huu...
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://2.bp.blogspot.com/-50awND_mcP4/VRKpf4W5LLI/AAAAAAAACCc/FnKsr8cficc/s72-c/Chami.jpg)
CCM imeleta maendeleo Moshi Vijijini- Chami
MBUNGE wa Moshi Vijijini, Cyril Chami, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeleta maendeleo makubwa katika jimbo hilo tangu kiliposhika madaraka. Chami alisema hayo alipokuwa akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Mikocheni, katika ziara ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.
![](http://2.bp.blogspot.com/-50awND_mcP4/VRKpf4W5LLI/AAAAAAAACCc/FnKsr8cficc/s1600/Chami.jpg)
Chami alisema katika kipindi hicho chote, hakuna maendeleo yaliyopatikana, jambo ambalo linaoonyesha kuwa...