Zimbabwe yafurahia kina dada kufuzu Olimpiki
Timu ya taifa ya soka ya wanawake ya Zimbabwe imeandikisha historia baada ya kufuzu kwa Michezo ya Olimpiki kwa mara ya kwanza kabisa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima03 Apr
PHD: Kina dada mniache
STAA wa filamu za Bongo, Hemed Suleiman ‘PHD’, amewataka kina dada wanaomtaka mahusiano ya kimapenzi kukaa mbali naye, kwani kwa sasa ameamua kutulia na mpenzi wake, na anatarajia kufunga ndoa....
11 years ago
Tanzania Daima04 Feb
Zambia yafurahia safari za Fastjet
UHUSIANO wa kibiashara na kiuchumi baina ya Tanzania na Zambia umetajwa kuwa moja ya maeneo muhimu yanayoweza kunufaika kutokana na safari za moja kwa moja za ndege baina ya miji...
10 years ago
BBCSwahili31 Jul
Chanjo dhidi ya Ebola ? WHO yafurahia
10 years ago
Dewji Blog02 May
UNESCO yafurahia mabadiliko redio jamii
Ofisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini, Al Amin Yusuph, akiendesha mafunzo ya matumizi ya kutumia TEHAMA kwa kupeleka na kupokea habari yaliyofanyika katika kituo cha Sengerema Telecentre mkoani Mwanza chini ya ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Sweden (SIDA) kwa ushirikiano na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu Sayansi na Utamaduni (UNESCO).
Na Mwandishi Wetu, Sengerema
AWAMU ya pili ya mradi wa kuwezesha...
10 years ago
Habarileo22 Apr
SMZ yafurahia uhusiano wake na Oman
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesifu uhusiano uliopo kati ya Zanzibar na Oman ambao umesaidia kwa kiasi kikubwa kuimarisha sekta ya Elimu, ikiwemo Chuo Kikuu cha Taifa (SUZA) kupiga hatua kubwa katika taaluma ya elimu kwa wanafunzi.
10 years ago
Habarileo24 Oct
Polisi yafurahia vifaa vya kulinda usalama
JESHI la polisi mkoani Mbeya limeipongeza serikali kwa kuliwezesha kupata vifaa vipya na vya kisasa kwa ajili ya kukabiliana na aina yoyote ya uvunjifu wa amani siku ya uchaguzi mkuu unaofanyika kesho.
11 years ago
Michuzi
TTCL YAFURAHIA KUIBUKA NA TUZO YA USHINDI KATIKA SEKTA YA MAWASILIANO

Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Peter Ngota akionesha tuzo ya ushindi katika sekta ya mawasiliano.



11 years ago
BBCSwahili27 Jun
Raia wa Algeria washerehekea kufuzu
9 years ago
BBCSwahili25 Nov
Wenger:Tuna matumaini ya kufuzu