Zitto is my witness, says Kikwete
President Kikwete said he started taking efforts to build the bridge when he was Minister for Foreign Affairs and International Cooperation with help from South Korea.
TheCitizen
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo17 Sep
Zitto amsifu Kikwete
MGOMBEA ubunge wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amepongeza mafanikio yote ya Rais Jakaya Kikwete, yaliyopatikana katika mkoa wa Kigoma katika kipindi cha miaka kumi ya uongozi wake.
9 years ago
Mwananchi16 Sep
Kikwete ampigia chapuo Zitto kiaina
Rais Jakaya Kikwete amesema alilazimika kufuatana na aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini wa Chadema kwa wakati huo, Zitto Kabwe kwenda nchi za Mashariki ya mbali, kuomba misaada ya ujenzi wa barabara za Mkoa wa Kigoma na Daraja la Mto Malagarasi ili kuunganisha na Mkoa wa Tabora.
10 years ago
Vijimambo20 Apr
Alichokisema ZITTO KABWE Juu ya kumchongea MENGI anataka kuvunja Serikali ya KIKWETE
![](http://mwanahalisionline.com/wp-content/uploads/2014/12/Zitto-Kabwe.jpg)
Katika gazeti la Taifa Imara la tarehe 23 Machi 2015 kulikuwa na habari yenye kichwa cha maneno ' Zitto amchongea Mengi kwa JK?' Habari hiyo ilibeba maudhui ya 'post' iliyoandikwa katika mtandao wa Mwanahalisi online. Habari hiyo inaonyesha kuwa Mimi nilikutana na Rais kwa msaada wa watu mbalimbali na katika kikao hicho inadaiwa nilisema kuwa Mengi ndiye aliyechochea wabunge kuishughikia Serikali ya Rais Kikwete ili ianguke. Ni vema ifahamike kuwa gazeti la Taifa Imara linamilikiwa na Bwana...
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/78815000/jpg/_78815771_78609735.jpg)
Dewani witness 'may still be tried'
A man who admits taking part in the murder of Anni Dewani in South Africa but was formerly granted immunity, is told he could still face prosecution.
11 years ago
TheCitizen24 Jan
Witness accused of ‘fixing’ Sang
>A prosecution witness was accused of changing his testimony to fix journalist Joshua arap Sang as ICC proceedings continued yesterday.
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/73347000/jpg/_73347767_73341465.jpg)
Pistorius lawyers to quiz witness
Lawyers for South African athlete Oscar Pistorius question a neighbour who told his murder trial she heard a woman's "terrible screams" and shots.
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/80268000/jpg/_80268252_ruto.jpg)
Murdered Kenyan 'not ICC witness'
Kenyan police say a body found dead in a river earlier this month may not be that of an ICC defence witness, as the fingerprints do not match.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qhmaNpdkdBu9ithuisAZOq1TWbTgDXd6RVjXVHEGli7UxROMryZqJ2eTfeQWAZUE1JRkzNO-koOnQvmBnkVEOUOzuwzSSVCv/1.gif)
WITNESS: OCHUNESS TUNAJIMENEJI WENYEWE
LEO hii kwenye Live Chumba cha Habari cha Global Publishers tunaye mwanadada muimbaji anayefanya vizuri katika soko la muziki wa Hip Hop, Witness Mwijage ambaye alikuwa akiunda Kundi la Wakilisha kipindi cha nyuma ambapo aliambatana na mzazi mwenzie msanii wa Bongo Fleva, Ochu Sheggy. Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Witness Mwijage (kushoto), akiwa katika pozi na mchumba wake Ochu Sheggy.
Katika mahojiano… ...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania