Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikwete ampigia chapuo Zitto kiaina

Rais Jakaya Kikwete amesema alilazimika kufuatana na aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini wa Chadema kwa wakati huo, Zitto Kabwe kwenda nchi za Mashariki ya mbali,  kuomba misaada ya ujenzi wa barabara za Mkoa wa Kigoma na Daraja la Mto Malagarasi ili kuunganisha na Mkoa wa Tabora.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Rutiginga ampigia chapuo Nkwabi

WAKATI uchaguzi wa klabu ya Simba ukitarajia kufanyika leo jijini Dar es Salaam, mwanachama aliyekuwa akiwania nafasi ya ujumbe, Ramson Rutiginga, amewasihi wenzake kumchagua Swedi Nkwabi kwa nafasi ya makamu...

 

10 years ago

Mwananchi

Amina Salum Ali ampigia chapuo Dk Shein

Balozi Amina Salum Ali amesema Rais wa Zanzibar anayemaliza muda wake, Dk Ali Mohamed Shein bado anastahili kupewa nafasi ya kuongoza Wazanzibari.

 

10 years ago

Mwananchi

Massaburi ampigia chapuo Pinda urais 2015

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (Alat), Dk Didas Massaburi amempigia ‘debe’ Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwamba, ndiye anayehitajika kupewa ridhaa ya kuongoza nchi katika uchaguzi mkuu mwaka 2015. Dk Massaburi alisema hayo jana wakati wa kuzindua mchakato wa maadhimisho ya miaka 30 ya Alat na serikali za mitaa, kuwa Pinda ni kiongozi mwenye sifa zinazohitajika ndani ya jumuiya hiyo. Alizitaja baadhi ya sifa hizo kuwa ni pamoja na upole, mtu asiye dikteta, awe...

 

10 years ago

Mwananchi

Ben Mkapa ampigia Pinda debe kiaina

Rais mstaafu, Benjamini Mkapa amempigia debe Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kiana akisema ni kiongozi anayekubalika kwa wananchi, hivyo wananchi wamuunge mkono kwenye nafasi yake ya sasa.

 

9 years ago

TheCitizen

Zitto is my witness, says Kikwete

President Kikwete said he started taking efforts to build the bridge when he was Minister for Foreign Affairs and International Cooperation with help from South Korea.

 

9 years ago

Habarileo

Zitto amsifu Kikwete

MGOMBEA ubunge wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amepongeza mafanikio yote ya Rais Jakaya Kikwete, yaliyopatikana katika mkoa wa Kigoma katika kipindi cha miaka kumi ya uongozi wake.

 

10 years ago

Tanzania Daima

DC aipigia chapuo CHF Mufindi

MKUU wa Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa, Evarista Kalalu amewashauri wanavijiji vya Ukami na Chogo kata ya Mapanda wilayani hapa kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) ili kuondokana...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Sekta ya uvuvi yapigiwa chapuo

NCHI za Afrika zimekubaliana kufanya kazi kwa pamoja ili kuhakikisha sekta ya uvuvi inakuwa na mchango mkubwa wa kukuza uchumi katika nchi hizo. Akizungumza katika semina iliyoandaliwa na Umoja wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nkongo awapigia chapuo vibendera

MWAMUZI bora wa Ligi Kuu 2013/14, Israel Nkongo, amewataka wadhamini wa ligi hiyo, Kampuni ya mawasiliano ya simu za mkononi ya Vodacom, kuwatazama na waamuzi wasaidizi katika utoaji tuzo hizo....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani