Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rutiginga ampigia chapuo Nkwabi

WAKATI uchaguzi wa klabu ya Simba ukitarajia kufanyika leo jijini Dar es Salaam, mwanachama aliyekuwa akiwania nafasi ya ujumbe, Ramson Rutiginga, amewasihi wenzake kumchagua Swedi Nkwabi kwa nafasi ya makamu...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Kikwete ampigia chapuo Zitto kiaina

Rais Jakaya Kikwete amesema alilazimika kufuatana na aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini wa Chadema kwa wakati huo, Zitto Kabwe kwenda nchi za Mashariki ya mbali,  kuomba misaada ya ujenzi wa barabara za Mkoa wa Kigoma na Daraja la Mto Malagarasi ili kuunganisha na Mkoa wa Tabora.

 

10 years ago

Mwananchi

Amina Salum Ali ampigia chapuo Dk Shein

Balozi Amina Salum Ali amesema Rais wa Zanzibar anayemaliza muda wake, Dk Ali Mohamed Shein bado anastahili kupewa nafasi ya kuongoza Wazanzibari.

 

10 years ago

Mwananchi

Massaburi ampigia chapuo Pinda urais 2015

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (Alat), Dk Didas Massaburi amempigia ‘debe’ Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwamba, ndiye anayehitajika kupewa ridhaa ya kuongoza nchi katika uchaguzi mkuu mwaka 2015. Dk Massaburi alisema hayo jana wakati wa kuzindua mchakato wa maadhimisho ya miaka 30 ya Alat na serikali za mitaa, kuwa Pinda ni kiongozi mwenye sifa zinazohitajika ndani ya jumuiya hiyo. Alizitaja baadhi ya sifa hizo kuwa ni pamoja na upole, mtu asiye dikteta, awe...

 

11 years ago

We Will Never Forget You

Nkwabi Ng'wanakilala


Daily News
Nkwabi Ng'wanakilala - We Will Never Forget You
AllAfrica.com
JUNE 28, 2014, was a sad day to many in the media and even stakeholders. This is the day when death grabbed from the media fraternity a hard working teacher, lecturer and journalist, who dedicated a larger part of his life serving the public and publishing ...
Kikwete pays glowing tribute to Ng'wanakilalaDaily News

all 6

 

10 years ago

Tanzania Daima

Sekta ya uvuvi yapigiwa chapuo

NCHI za Afrika zimekubaliana kufanya kazi kwa pamoja ili kuhakikisha sekta ya uvuvi inakuwa na mchango mkubwa wa kukuza uchumi katika nchi hizo. Akizungumza katika semina iliyoandaliwa na Umoja wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

DC aipigia chapuo CHF Mufindi

MKUU wa Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa, Evarista Kalalu amewashauri wanavijiji vya Ukami na Chogo kata ya Mapanda wilayani hapa kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) ili kuondokana...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nkongo awapigia chapuo vibendera

MWAMUZI bora wa Ligi Kuu 2013/14, Israel Nkongo, amewataka wadhamini wa ligi hiyo, Kampuni ya mawasiliano ya simu za mkononi ya Vodacom, kuwatazama na waamuzi wasaidizi katika utoaji tuzo hizo....

 

9 years ago

Mwananchi

Wafanyabiashara wapigia chapuo Tanesco kugawanywa

Wadau wa biashara nchini wanaiona hatua ya Serikali kutaka kuligawa Shirika la Umeme nchini (Tanesco), kama hatua muhimu katika kuongeza ufanisi wa kushughulikia matatizo ya nishati ya umeme nchini.

 

10 years ago

Habarileo

Samia apigiwa chapuo Umakamu wa Rais

WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba jana walisifu uongozi uliooneshwa na Makamu Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samia Suluhu na kupendekeza ikiwezekana katika hiyo dhana ya uwakilishi sawa maarufu 50/50, ateuliwe kuwa Mgombea Mwenza wa mgombea urais katika uchaguzi mkuu ujao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani