Zitto: TRA ijieleze kupoteza mabilioni
>Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali, Zitto Kabwe ameitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kujieleza kwa kushindwa kesi hadi kupoteza Sh340 bilioni za kodi ya ongezeko la mtaji katika uchimbaji urani.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima12 May
Serikali yakiri kupoteza mabilioni
SERIKALI imekiri kupoteza mabilioni ya fedha kila mwaka ambazo zinapaswa kulipwa kwa mujibu wa sheria na makampuni ya migodi nchini kama ushuru wa huduma kwa halmashauri zinazozunguka migodi hiyo. Naibu...
11 years ago
Mwananchi04 May
Kuna maana gani kupoteza mabilioni haya kwa Katiba?
10 years ago
Habarileo18 Mar
TRA yakamata bidhaa za magendo za mabilioni
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imekamata bidhaa za magendo zenye thamani ya Sh milioni 228.4, ikiwa ni katika jitihada za kudhibiti uingizaji wa bidhaa kwa njia ya magendo na biashara ya magendo nchini.
9 years ago
Global Publishers15 Dec
Watoto wa vigogo TRA wamiliki majumba mabilioni
Kaimu Kamishna Mkuu wa TRA, Dk. Philip Mpango.
Na Mwandishi Wetu
KIMENUKA tena! Wakati Rais John Pombe Magufuli ‘JPM’ akiendelea kusimamia zoezi la kutumbua majipu katika sekta na idara za umma kote nchini, imebainika kuwa baadhi ya vigogo wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wamewamilikisha watoto wao wenye umri wa miaka mitatu hadi saba, majumba yenye thamani ya mabilioni ya shilingi, Uwazi linaripoti.
TUJIUNGE NA CHANZO
Chanzo makini kilicho ndani ya TRA kimeliambia gazeti hili kuwa vigogo...
10 years ago
Raia Mwema15 Jul
Zitto, mabilioni ya Uswisi na Yeremia 5:21
KUNA wakati, Mwenyezi Mungu ametumia lugha inayoweza kuonekana kali kupitia maandiko yake matakat
Mwandishi Wetu
10 years ago
Mwananchi06 Jul
Zitto aanika majina mabilioni ya Uswisi
11 years ago
Mwananchi27 Dec
Zitto: Siwataji walioficha mabilioni Uswisi ng’o
10 years ago
Mwananchi19 Jan
Zitto awavaa TRA, akerwa na Misamaha ya kodi
10 years ago
Mwananchi19 Nov
Vigogo Takukuru, TRA, CAG ‘kikaangoni’ Kamati ya Zitto