Zitto: Tumuenzi mama kwa Katiba bora
Zaidi ya wabunge 40 kutoka Bunge la Muungano, Bunge Maalumu la Katiba na Bunge la Afrika Mashariki, jana walihudhuria maziko ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Shida Salum huku mtoto wa marehemu, Zitto Kabwe akitaka mama yake aenziwe kwa kupatikana Katiba bora.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Raia Mwema14 Oct
Tumuenzi Mwalimu Nyerere kwa dhati
LEO Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatimiza miaka 16 kamili bila kuwa na mwasisi wake Baba wa T
Mwandishi Wetu
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-mRFg4LljtRw/U4tF_lkiP1I/AAAAAAAAOqc/OGjKKokb-qk/s72-c/MAMA1.jpg)
Mwili wa Mama Yake Zitto Kabwe Wasafirishwa Kwenda Kigoma kwa mazishi
![](http://2.bp.blogspot.com/-mRFg4LljtRw/U4tF_lkiP1I/AAAAAAAAOqc/OGjKKokb-qk/s1600/MAMA1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-JyRfvncutDk/U4tGDZsYcOI/AAAAAAAAOq0/5doZhtC0aPk/s1600/mama4.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Zu2JNvyqDWU/U4tGAEydsNI/AAAAAAAAOqk/yVj5CyPa5ts/s1600/MAMA2.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/CrfMSzuE5d6seY-M3P61sR4cfeC*PqMstxtSIWMDPP*tcCVJRq5azd7aVCguZOay39jr*0iMjq7ajgbhJTiCofCEG0kF8sdD/zitto1.jpg?width=650)
MWILI WA MAMA YAKE ZITTO, BI. SHIDA SALUM WASAFIRISHWA KWENDA KIGOMA KWA MAZISHI
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-MnYA9Vprszg/VDgna_36AvI/AAAAAAAAX7w/6s-GjrLilG8/s72-c/UNGA%2B006.jpg)
BUNGE KUPIGIA KURA KATIBA MPYA NI ISHARA YA KUIMARIKA KWA UTAWALA BORA - MUKASA
![](http://3.bp.blogspot.com/-MnYA9Vprszg/VDgna_36AvI/AAAAAAAAX7w/6s-GjrLilG8/s1600/UNGA%2B006.jpg)
Na. Ally Kondo, New YorkSerikali imesema kuwa mchakato wa kuandaa Katiba mpya ambayo imepitishwa na Bunge Maalum la Katiba hivi karibuni ni ishara ya wazi kuwa, Serikali imedhamiria kuongoza nchi kwa mujibu ya matakwa ya wananchi wake na kuzingatia Utawala wa Sheria. Kauli hiyo ilitolewa na Afisa wa Wizara ya Mambo...
9 years ago
Mwananchi15 Oct
Tumuenzi Mwalimu wakati wote
11 years ago
Tanzania Daima02 Jun
CHADEMA wamlilia Mama Zitto
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeeleza kupokea kwa majonzi makubwa msiba wa mjumbe wao wa Kamati Kuu ya Taifa, Shida Salum ambaye aliaga dunia jana jijini Dar es Salaam....
11 years ago
Tanzania Daima10 Jul
Hitima ya Mama Zitto keshokutwa
HITIMA ya aliyekuwa Mjumbe wa Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Shida Salum, inatarajiwa kufanyika nyumbani kwake Tabata-Bima, Dar es Salaam Jumamosi ya wiki hii. Kwa mujibu...
11 years ago
Tanzania Daima02 Jun
Mama Zitto Kabwe afariki
BUNGE Maalum la Katiba limepata pigo baada ya kuondokewa na mjumbe wake, Shida Salum (64), ambaye ameugua kwa muda mrefu. Shida ambaye pia ni mama mzazi wa mbunge wa Kigoma...