Zomeazomea ya Escrow yaikera CCM
Kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ambazo zimekuwa zikitawaliwa na zomeazomea na vurugu, zimechukua sura mpya baada ya wafuasi wa CCM kuitwa ‘escrow’ kiasi cha katibu wa chama hicho wilayani Arusha, Feruz Bana kutaka wapinzani wazungumze hoja.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi10 Jun
Zomeazomea, vilio vyatawala kesi ya mtoto wa boksi
Umati wa watu, wengi wao wakiwa wanawake jana ulifurika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro, kufuatilia kesi ya kula njama na kumfanyia vitendo vya ukatili mtoto Nasra Rashid (4) wakati wa uhai wake inayowakabili watu watatu.
10 years ago
Mwananchi07 Dec
Escrow kuing’oa CCM
 Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila amesema licha ya Chama cha Mapinduzi (CCM), kuwadharau Watanzania na kuamini kwamba hawana madhara kwa ustawi wake, kashfa ya uchotaji fedha kutoka Akaunti ya Tegeta Escrow itaking’oa chama hicho madarakani.
10 years ago
Vijimambo05 Dec
CCM yajitenga zigo la Escrow
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Nape-Nauyee--December5-2014.jpg)
Wakati vigogo waliotakiwa kuwajibika kutokana na kuhusika kwenye sakata la uchotwaji wa zaidi ya Sh. bilioni 300 kutoka kwenye akaunti ya Escrow iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) wakiendelea kujivuta miguu, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kujiweka kando na suala hilo.
Wabunge kadhaa kutoka CCM wakiwamo mawaziri Sospeter Muhongo wa Nishati na Madini na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, ni miongoni mwa...
10 years ago
TheCitizen15 Jan
CCM to decide on escrow beneficiaries
The fate of prominent CCM members implicated in the Tegeta escrow account scandal is now in the hands of the party’s ethics committee, which will meet on January 19. This was one of the resolutions reached by the ruling party’s Central Committee, which met on Tuesday in Zanzibar.
10 years ago
TheCitizen19 Jan
Not everybody in CCM is escrow crook: Mwigulu
>Deputy CCM secretary general Mwigulu Nchemba has expressed disdain at voters who punished the party’s candidates in the recently held civic elections on the basis the Tegeta escrow account scandal, saying they had passed the right judgment on wrong people.
10 years ago
CC Contention14 Jan
General election, 'Escrow' in CCM
Daily News
Daily News
THE Central Committee of CCM met for over six hours here yesterday during which three main agenda were tabled for deliberation. According to the party's Ideology and Publicity Saecretary Nape Nnauye, the three items included the Tegeta Escrow account, ...
10 years ago
Mwananchi19 Jan
CCM kuwabana makada escrow
Kamati Ndogo ya Maadili ya CCM leo inaketi kutoa hatima ya makada wa chama hicho waliotajwa kuhusika katika kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow.
10 years ago
IPPmedia28 Dec
Escrow account scam may decide CCM`s future
IPPmedia
A Communications and Research Associate, Maya Prabhu from Africa Research Institute, ARI, wrote a very interesting article (published by The Citizen, December 24th 2014) on the effect of Tanzania's dependence on foreign aid. Prabhu quoted one of ...
10 years ago
Mwananchi08 Jul
CCM ina kashfa ya escrow tu, asema Msekwa
Makamu mwenyekiti mstaafu wa CCM, Pius Msekwa amesema kashfa ya uchotwaji fedha kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow imekijengea chama hicho chuki kwa wananchi na hivyo kinahitaji mgombea anayekubalika ili kishinde kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania