Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZUNGU AIAGIZA BAGAMOYO KUFANYA UHAKIKI WA VIWANDA VYOTE VILIVYOPO WILAYANI HUMO


Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu (mwenye kofia mbele) akiingia ndani ya kiwanda cha Exel Chemical Ltd. kilichopo wilayani Bagamoyo mkoani Pwani kwa ajili ya kufanya ukaguzi kufuatia malalamiko ya wadau mbalimbali kuhusu uchafuzi wa mazingira. Hata hivyo uchunguzi unaendelea kuhusu tuhuma za kufanya kazi bila leseni na kukwepa kodi. Kulia kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Zainabu Kawawa.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

SERIKALI WILAYANI CHUNYA KWA KUSHIRIKIANA NA WADAU WAJIPANGA KUTATUA KERO ZA MAJI WILAYANI HUMO

Mkuu wa Wilaya ya Chunya Elias John Tarimo akizindua Mradi wa Kisima cha Maji Kijiji cha Ngwala Wilaya ya Chunya Mkoa wa Mbeya kilicho jengwa na Kampuni ya utafiti wa madini yaPeak Resources Katika kata ya Ngwala Wilayani humo.Baadhi ya Wananchi wakishuhudia uzinduzi wa Mradi wa Maji Kijiji cha Ngwala Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya.
Na Ezekiel Kamanga ,Mbeya,Jamiimojablog SERIKALI wilayani Chunya Mkoani Mbeya kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo wameendelea na jitihada mbalimbali katika...

 

5 years ago

Michuzi

Dkt. Ndugulile aiagiza NIMR kufanya utafiti kuhusu ugonjwa wa Corona

WAMJW- Dar es Salaam.         WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeitaka Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) kufanya utafiti kuhusu ugonjwa wa Corona (Covid-19) kwa kuwa kuna tofauti kubwa ya dalili zilizojitokeza kwa wagonjwa hapa nchini ukilinganisha na wagonjwa waliopo nje ya  nchi.

Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile wakati alipokutana na watafiti wa taasisi...

 

10 years ago

GPL

BAGAMOYO HISTORICAL MARATHON LAFANA WILAYANI BAGAMOYO

Washiriki wa mbio wakiwa katika viwanja vya Shule ya Msingi Mbaruku ya Bagamoyo wakisubiri kupewa zawadi. Mgeni rasmi katika tamasha hilo, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,  Dk. Shukuru Kawambwa akiwa na baadhi ya washiriki wa michezo.…

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA SOSPETER MUHONGO APATA MAPOKEZI MAKUBWA WILAYANI KISHAPU MKOANI SHINYANGA. AITWA “MZEE WA NGUZO” NA KUKABIDHIWA ZAWADI KWA KUSAMBAZA UMEME KWA KASI KUBWA WILAYANI HUMO

 Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na wakazi wa Kata ya Mwamalasa wilayani Kishapu.

 Wakazi wa kijiji cha Ndoleleji  wilayani Kishapu wakimsikiliza kwa makini  Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (hayupo pichani). Profesa Muhongo ameahidi kuwapatia umeme kabla  ya tarehe 30 Aprili, mwaka huu.

 Wakazi wa Bubiki wilayani Kishapu wakimkabidhi  Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (kushoto)  zawadi ya mbuzi...

 

10 years ago

Habarileo

Bima ya Afya yaongeza muda kufanya uhakiki

 Eugene MikongotiMFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), umeongeza muda wa mwezi mmoja kwa wanachama wake kuweza kuhakiki taarifa zao, kabla ya kuhitimisha utaratibu huo ifikapo Februari 28, mwaka huu.

 

5 years ago

Michuzi

ZUNGU AFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYANI MPWAPWA



Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu akiwasili ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma alipofanya ziara ya kikazi kukagua kukagua athari zilizosababishwa na korongo kubwa kando ya Mto Shaban Robert mwishoni mwa wiki.Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe....

 

5 years ago

Michuzi

ZIARA YA WAZIRI ZUNGU WILAYANI ILALA JIJINI DAR ES SALAAM



Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu akiangalia mojawapo ya mabwawa ya majitaka yanayodaiwa na wananchi wa eneo la Buguruni Kisiwani kutokana na harufu mbaya na mazalia ya mbu na kusababisha magonjwa.Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu akikatiza juu ya daraja la kuvuka maji yanayotiririka kutoka viwandani eneo la Buguruni.Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe....

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA MAKETE AKABIDHI BATI 183 KWA WAATHIRIKA WA KIMBUNGA WILAYANI HUMO

Mkuu wa wilaya ya Makete mh. Josephine Matiro (kushoto) akimkabidhi bati Bi. Ami Mahenge, ambaye ni mmoja kati ya waathirika wa kimbunga katika kijiji cha Ndulamo, Makete.   Mkuu wa wilaya ya Makete Mh Josephine Matiro akiwa na waathirika hao muda mchache kabla ya kuwakabidhi.  Mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro akizungumza na waathirika wa kimbunga katika ofisi za kijiji cha Ndulamo.  Kaimu mkurugenzi mtendaji halmashauri ya wilaya ya Makete Bw. Peter Mwagilo akizungumza na...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI ZUNGU AFANYA ZIARA MACHIMBO YA MADINI YA KAOLIN WILAYANI KISARAWE

 Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira ) Mussa Azzan Zungu akiambatana na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mhe. Jokate Mwegelo, viongozi wa kamati ya ulinzi na usalama pamoja na viongozi wengine mara baada ya kuwasili eneo la machimbo ya madini ya Kaolin wilayani Kisarawe. Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais( Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu amefanya ziara katika eneo la machimbo ya madini ya kaolin yanayomilikiwa na kampuni ya Rakkadlin Co. Ltd wilayani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani