Matokeo ya Utafutaji
5 years ago
Michuzi9 years ago
Bongo506 Jan
Haya ni mambo matano aliyoyasema Alikiba kuhusu Davido, na mpango wa collabo yao
Mwaka 2015 staa wa Nigeria, Davido alitangaza kuwa mashabiki wajiandae kupokea collabo yake na Alikiba, kitu kilichowafurahisha mashabiki wengi wa muziki hususan team Alikiba.
“I have a song coming out with Alikiba too, that’s gonna be crazy” alisema Davido alipohojiwa na Millard Ayo kwenye Red Carpet ya tuzo za MTV MAMA mwaka jana 2015.
Kwa bahati mbaya hadi sasa tukiwa tayari tumeingia kwenye mwaka mpya 2016 collabo hiyo bado haijafanyika wala hakuna dalili zozote za kurekodiwa...
9 years ago
MillardAyo06 Jan
EXLUSIVE: Majibu ya Alikiba kuhusu kolabo yake na Davido
Ni Exclusive Interview Alikiba aliyoifanya na MillardAyo baada ya maswali kuendelea kuwepo kuhusu walipofikia baada ya Davido kuongea kwenye Interview na Millard Ayo July 2014 na kusema single nyingine na mkali wa bongofleva itakua ni yeye na Alikiba, sasa kujua alichosema Alikiba tazama hii Interview hapa chini.
The post EXLUSIVE: Majibu ya Alikiba kuhusu kolabo yake na Davido appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Bongo Movies03 Jan
Kingwendu: Ningepewa Hiki Ningekuwa Level Moja na Diamond na Alikiba
Mchekeshaji maarufu nchini, Kingwendu amesema kama nyimbo zake zingepata promotion ya kutosha, angekuwa anashindana na wasanii wanaofanya vizuri kwa sasa, Diamond na Ali Kiba.
Kingwendu ambaye alikuwa katika show za mwisho wa mwaka nchini Ujerumani hivi karibuni, ameiambia Bongo5 kuwa hali hiyo inamfanya aanze kutafuta maneja ili aweze kusimamia kazi za muziki wake.
“Mwaka jana nimetoa nyimbo tatu lakini zote hazikupata airtime ndio maana hazikufanya vizuri lakini kwa sababu ni nyimbo nzuri...
9 years ago
Bongo502 Jan
Kingwendu: Ningepewa airtime ningekuwa level moja na Diamond na Alikiba
Mchekeshaji maarufu nchini, Kingwendu amesema kama nyimbo zake zingepata promotion ya kutosha, angekuwa anashindana na wasanii wanaofanya vizuri kwa sasa, Diamond na Ali Kiba.
Kingwendu ambaye alikuwa katika show za mwisho wa mwaka nchini Ujerumani hivi karibuni, ameiambia Bongo5 kuwa hali hiyo inamfanya aanze kutafuta maneja ili aweze kusimamia kazi za muziki wake.
“Mwaka jana nimetoa nyimbo tatu lakini zote hazikupata airtime ndio maana hazikufanya vizuri lakini kwa sababu ni nyimbo nzuri...
9 years ago
MillardAyo02 Jan
Alikiba alivyochekecha kwenye stage Machakos Kenya akiagana na mwaka 2015..(+Pichaz)
Wiki moja iliyopita December 26 2015 ilikuwa siku ya kumshuhudia King Kiba kwenye stage Escape 1 Dar es Salaam alipoangusha mzigo mzima wa show ya funga mwaka !! Kazi haikuwa ndogo… Alikiba alishambulia kwa uzito wa juu stage ikitawaliwa kwa live show yenye support ya bendi iliyokamilika pamoja na dancers kadhaa. Kazi ya funga mwaka […]
The post Alikiba alivyochekecha kwenye stage Machakos Kenya akiagana na mwaka 2015..(+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Bongo501 Jan
Picha: Alikiba avuta umati wa zaidi ya watu elfu 10 Machakos, Kenya
Alikiba ana mashabiki lukuki nchini Kenya.
Na ndio maana weekend hii, muimbaji huyo wa Mwana aliukaribisha mwaka mpya 2016 kwa kuvuta nyomi huko Machakos.
“Show imepata mahudhurio makubwa ya wapatao watu zaidi ya 10,000,” msemaji wake ameiambia Bongo5.
“Ilihudhuriwa na viongozi wa serikali ya county ya Machakos akiwepo Gavana na familia yake. Aliperform kuanzia 00:00 mpaka 03:00.”
Jionee picha zaidi.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na...
9 years ago
MillardAyo27 Dec
Picha za Alikiba kwenye stage ufukweni alivyouaga mwaka 2015…
December 26 2015 stage ya Escape One, Mikocheni Dar es Salaam wakazi wa 88.5 walishuhudia Alikiba akidondosha burudani ya nguvu kama shukrani kwa watu wake waliompokea vizuri kwenye ujio wake mzito wa 2015. Hizi ni baadhi ya picha kutoka katika show hiyo zitazame hapa Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa […]
The post Picha za Alikiba kwenye stage ufukweni alivyouaga mwaka 2015… appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Bongo524 Dec
Ben Pol ampigia magoti Alikiba, wayamaliza, huenda wakafanya collabo
Wagombanao ndio wapatanao. Baada ya wiki nzima ya kuoga matusi kutoka kwa mashabiki wa Alikiba kutokana na kauli yake ya utata kwenye Twitter, Ben Pol amekiri kuwa aliteleza na kumuomba radhi muimbaji huyo wa Nagharamia.
Akiongea kwa simu kupitia kipindi cha Jahazi cha Clouds FM Alhamis hii ambako Kiba alikuwepo studio, Ben Pol alisema yeye ni shabiki mkubwa wa Kiba na anamchukulia kama kaka yake na amekiri kuwa tweet ile haikuwa sawa.
“Mimi shabiki wa Kiba, moyoni mwangu nina furaha kubwa...
9 years ago
MillardAyo23 Dec
Alikiba amejibu haya kuhusu post ya Ben Pol aliyomwandika… (#UHeard)
Hakuna maelewano mazuri kati ya Ben Pol na Alikiba? Kama ulipitia mitandaoni au ulisikia ishu ya Tweet ya Ben Pol aliyomzungumzia Alikiba na kila mtu alitafsiri kivyake. Soudy Brown akaona amcheki Alikiba ambaye amesema yeye amechukulia poa post ya Ben Pol kwa sababu yeye ni muungwana na anamtanguliza MUNGU mbele… hana ubaya wowote na Ben […]
The post Alikiba amejibu haya kuhusu post ya Ben Pol aliyomwandika… (#UHeard) appeared first on TZA_MillardAyo.