10 wajeruhiwa kwenye shambulizi Kenya
Angalau watu kumi wamejeruhiwa katika shambulizi la guruneti katika eneo moja la watalii mjini Mombasa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima02 Jun
Watatu wajeruhiwa Kenya
WATU watatu wamejeruhiwa katika shambulizi la bomu katika mji wa Garisa nchini humo. Hayo yalithibitishwa Jumamosi na mkuu wa polisi wa eneo hilo, Charles Kinyua kuwa kati ya vijana watatu...
11 years ago
BBCSwahili06 Jul
Shambulizi lafanyika pwani ya kenya
11 years ago
BBCSwahili31 Mar
Shambulizi la kigaidi lawaua 6 Kenya
10 years ago
BBCSwahili05 Apr
Kenya yaomboleza shambulizi la Garissa
10 years ago
BBCSwahili22 Sep
Shambulizi lililotikisa Kenya zaidi
11 years ago
BBCSwahili23 Apr
4 wauawa katika shambulizi Kenya
11 years ago
BBCSwahili02 Jan
10 wajeruhiwa katika shambulio Kenya
10 years ago
StarTV02 Apr
Watu 6 wauawa kufuatia shambulizi Kenya
Takriban watu sita wameuawa baada ya watu watano wanaodaiwa kufinika nyuso zao kushambulia chuo kikuu cha Garrissa Kaskazini mashariki mwa Kenya.
Watu hao wanadaiwa kuingia katika taasisi hiyo mwendo wa saa kumi asubuhi wakati ambapo waislamu walikuwa wakifanya sala yao ya alfajiri.
Hatahivyo maafisa wa polisi wanasema kuwa shambulizi hilo lilifanyika mwendo wa saa kumi na moja unusu.
Mwandishi wa BBC mjini humo anasema kuwa walinzi wawili waliuawa katika lango la chuo hicho huku maafisa...