Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


100 kupewa tuzo Tamasha la Pasaka

WADAU 100 waliofanikisha kwa namna mbalimbali  katika kipindi cha miaka 15 tangu kuanzishwa Tamasha la Pasaka nchini wanatarajiwa kupewa tuzo wakati wa tamasha la mwaka huu. Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana na Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama ilieleza kuwa wadau hao ni wanasiasa, viongozi wa dini, wafanyabiashara na waandishi wa habari. “Wapo wengi waliotusaidia kufikia hapa tulipo, lakini tumeteua 100 hawa watapokea kwa niaba ya wengine, ikiwa ni...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAANDALIZI YA MIAKA 15 YA TAMASHA LA PASAKA YAENDELEA KUNOGA,BAISKELI 100 KUTOLEWA KWA WALEMAVU MIKOA KUMI

Pichani kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari wakati akielezea maendeleo ya maandalizi ya miaka 15 tangu kuanzishwa kwa tamasha la Pasaka, sherehe ambazo zitafanyika wakati wa sikukuu ya Pasaka jijini Dar es salaam na kisha mikoani, Akizungumza katika mkutano huo Msama amesema mwaka huu tamasha la pasaka ni maalum kwa Msama Promotion imepanga  kuwanunulia baiskeli  100 za walemavu ambazo zitagawanywa katika mikoa 10 hapa...

 

11 years ago

Michuzi

KAPOTIVE STAR SINGERS-BUKOBA KUFANYA TAMASHA LA PASAKA LINA'S CLUB, PASAKA PILI NI KATIKA MJI WA BIHARAMULO

Kikundi mahiri cha KAPOTIVE Star Singers- Bukoba,Wanayo furaha kuwatangazia kuwa kwa mapenzi ya Mungu, Tar. 20/04/2014 sikukuu ya Pasaka watakuwa na tamasha la Pasaka LINA’S CLUB -Bukoba, kuanzia saa 9 mchana hadi 2 usiku na kesho yake tar. 21/04/2014 Watakuwa katika mji wa Biharamulo. 
 Mratibu wa Tamasha hilo Bw. Andrew Kagya amesema kuwa Mwimbaji mgeni (Guest singer) atakuwa Flora Mbasha na kundi lake zima kutoka jijini Dar es Salaam na pia Kutakuwepo kwaya mbalimbali za RC, KKKT na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

JK, Mkapa, Mwinyi kupewa tuzo Ag. 30

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete anatarajiwa kupewa tuzo na Kituo cha Michezo cha Sinza cha jijini Dar es Salaam (SSSCC), katika kumbua mchango wake katika...

 

10 years ago

BBCSwahili

Messi kupewa tuzo ya heshima

Chama cha soka cha Hispania (LFP) kitampa Lionel Messi tuzo ya heshima kwa kuvunja rekodi ya ufungaji bora wa la liga .

 

11 years ago

Tanzania Daima

Miaka 14 ya Tamasha la Pasaka

TAMASHA la Pasaka mwaka huu linatarajiwa kufikisha miaka 14 tangu kuanzishwa kwake na Kampuni ya Msama Promotions ya jijini Dar es Salaam. Tangu kuanzishwa kwa tamasha hilo, Watanzania wameweza kujumuika...

 

10 years ago

Mwananchi

Tamasha la Pasaka lasifiwa

Wakati viingilio vya tamasha la Pasaka vikiwekwa wazi, Chama cha Muziki wa Injili Tanzania (CHAMUITA) kimesema Tamasha la Pasaka ni kubwa na lililo na heshima Tanzania na Afrika yote kwa sababu linafikisha ujumbe wa neno la Mungu kwa Waafrika wote.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tamasha la Pasaka kuja kivingine

TAMASHA la Pasaka la mwaka huu litakalozinduliwa rasmi Aprili 20 jijini Dar es Salaam likibeba kaulimbiu ya ‘Tanzania Kwanza Haki Huinua Taifa’, litaendeshwa kwa staili mpya ya wadau wenyewe kuamua...

 

10 years ago

Michuzi

Watanzania walipania Tamasha la Pasaka



WAUMINI wa Kikristo waliopata fursa ya kushiriki semina ya neno la Mungu iliyoandaliwa na mtumishi wa Mungu Mwalimu Christopher Mwakasege iliyomalizika jana katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam wamesema wanahamu kubwa na Tamasha la mwaka huu kwa kuwa litakuwa na vitu vya kipekee.
Wakizungumza leo katika viwanja hivyo, walisema kikubwa ambacho kinaonesha utofauti ni kutimiza miaka 15 tangu kuanza hivyo kuadhimisha miaka hiyo kutakuwa na mambo tofauti yatakayopatikana siku...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani