Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


19 waliokimbia kukeketwa hawajapokelewa na wazazi

Wasichana 19 kati ya 117 waliokimbia kukeketwa katika Wilaya za Ngorongoro mkoani Arusha na Tarime mkoani Mara, hawajapokelewa na wazazi wao na kuhifadhiwa Kituo cha Nyumba Salama kilichopo wilayani hapa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

ESHA BUHETI AWASHANGAA WALIOKIMBIA UCHAGUZI

Na Gladness Mallya MSANII wa filamu Bongo, Esha Buheti ameibuka na kuwashangaa wasanii na waliokimbia uchaguzi mkuu wakiacha haki yao ya msingi ya kupiga kura. Msanii wa filamu Bongo, Esha Buheti. Akipiga stori na gazeti hili, Esha alisema wasanii waliosafiri kwenda nchi jirani kuhofia vita na kuacha kupiga kura siyo wazalendo wa nchi yao, kwani jambo hilo ni muhimu na ni haki ya kila mmoja. “Siendi sehemu yoyote, niko Dar na...

 

9 years ago

Mwananchi

2,000 wakimbia kukeketwa Tarime

Wasichana 2,118 wamekimbilia kwenye Kituo cha Kupinga Ukatili wa Kijinsia cha Masanga kinachomilikiwa na Kanisa Katoliki Jimbo la Mara wilayani Tarime ili kuepuka kukeketwa na wazazi wao.

 

11 years ago

BBCSwahili

ISIS yaagiza wanawake wote kukeketwa.

wapiganaji wa ISIS yaagiza wanawake wote kuanzia umri wa miaka 11-46 kukeketwa.

 

11 years ago

CloudsFM

ISIS yaagiza wanawake wote kukeketwa.

Umoja wa Mataifa umeelezea ghadhabu kutokana na Fatwa iliyotolewa na Kundi la wapiganaji wa Kiislamu wa ISIS ya kuwataka wanawake wote waliozidi umri wa miaka 11 kukeketwa.
Afisa wa shirika la umoja wa mataifa nchini Iraq ,Jacqueline Badcock ameonya kuwa agizo hilo la kidini ama Fatwa itawaathiri zaidi ya wanawake milioni nne kati ya umri wa miaka 11-46.

ISIS yaagiza wanawake wote kuanzia umri wa miaka 11-46 kukeketwa.
Bi Badcock alisema kuwa utamaduni huo ni jambo geni sana nchini Iraq na...

 

9 years ago

Mwananchi

Wanafunzi 150 Serengeti wakimbia kukeketwa

“Nalazimishwa kukeketwa ili niolewe, maana kwa mila na desturi za Kimasai mtoto wa kike anapozaliwa hupata mchumba. Pamoja na umri wangu mdogo hivi, licha ya kuwa nasoma, nani wa kutuokoa.”

 

11 years ago

Habarileo

Mabinti 406 wakimbia kwao wakikwepa kukeketwa

WATOTO wa kike 406 wakiwemo wanafunzi kutoka shule za msingi na sekondari wilayani Tarime mkoani Mara, wamekimbia makwao na kwenda kuhifadhiwa katika kambi ya Kanisa Katoliki Masanga.

 

11 years ago

Mwananchi

Usiku kuchangia jengo la wasichana wanaokwepa kukeketwa Tanzania

Niko Hoteli kubwa ya The Russet, katikati ya maskani ya wafanyakazi wa kawaida, Kaskazini ya London.

 

10 years ago

Vijimambo

2,000 wakimbia kwao kwa hofu ya kukeketwa Tarime.



Wasichana 2,003 wamezokimbia familia zao na kwenda kuishi katika kituo cha Masanga Wilaya ya Tarime mkoani Mara kwa hofu ya kukeketwa na wazazi wao.

Hayo yalibainishwa na Mlezi wa kituo hicho, Germaine Baibika, wakati akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa kupinga ukeketaji ulioandaliwa na Shirika la Jukwaa la Utu wa Mtoto (CDF) uliowashirikisha wadau wa kupinga ukeketaji na ndoa za utotoni.

Baibika alisema takwimu hizo ni tangu mwaka 2008 na idadi hiyo ni tangu walipoanza kupokea wasichana...

 

11 years ago

GPL

AKATWA PANGA NA MUMEWE KISA, KUZUIA MTOTO KUKEKETWA

Stori: Timothy Itembe, Tarime
MKAZI wa Kitongoji cha Songa Mbele wilayani Tarime mkoani Mara, Modester Mwita,33, amepigwa panga na mumewe kwa madai kuwa hataki mtoto wake wa kike wa umri wa miaka 14 (jina linahifadhiwa) kwenda kukeketwa. Modester Mwita. Akizungumza na gazeti hili wiki iliyopita akiwa Hospitali ya Bomani mjini hapa, Modester alisema kuwa tukio hilo lilitokea  asubuhi saa mbili Desemba,13, mwaka jana baada ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani