Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ISIS yaagiza wanawake wote kukeketwa.

wapiganaji wa ISIS yaagiza wanawake wote kuanzia umri wa miaka 11-46 kukeketwa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

CloudsFM

ISIS yaagiza wanawake wote kukeketwa.

Umoja wa Mataifa umeelezea ghadhabu kutokana na Fatwa iliyotolewa na Kundi la wapiganaji wa Kiislamu wa ISIS ya kuwataka wanawake wote waliozidi umri wa miaka 11 kukeketwa.
Afisa wa shirika la umoja wa mataifa nchini Iraq ,Jacqueline Badcock ameonya kuwa agizo hilo la kidini ama Fatwa itawaathiri zaidi ya wanawake milioni nne kati ya umri wa miaka 11-46.

ISIS yaagiza wanawake wote kuanzia umri wa miaka 11-46 kukeketwa.
Bi Badcock alisema kuwa utamaduni huo ni jambo geni sana nchini Iraq na...

 

11 years ago

Mtanzania

Mama Pinda: Wanawake wote tunataka amani

Mke wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Mama Tunu Pinda

Mke wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Mama Tunu Pinda

NA MWANDISHI WETU, SEOUL

MKE wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Mama Tunu Pinda, amesema wanawake wote duniani wanalilia amani na hawapendi vita wala machafuko kwani husababisha amani kutoweka.

Mama Pinda alitoa wito huo jana wakati akitoa mada kama mzungumzaji mkuu kwenye mkutano wa dunia wa siku tano ulioanza Seoul, Korea Kusini jana.

Mkutano huo ambao umeandaliwa na Taasisi ya Universal Peace Federation (UPF) ambayo inatoa ushauri kwenye Baraza...

 

10 years ago

Bongo Movies

Ujumbe Huu wa Wema Uwafikie Wanawake Wote

“Kelele kelele kama kengele za nini? The only business worth minding is your own. Mwanamke fanya yako kwa maendeleo yako”.-Wema Sepetu

Ameandika ujumbe huu kwenye ukurasa wake mtandaoni mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu.

 

 

11 years ago

Michuzi

WANAWAKE WOTE DUNIANI TUNALILIA AMANI - MAMA PINDA

MKE WA WAZIRI MKUU, Mama Tunu Pinda amesema wanawake wote duniani wanalilia amani na hawapendi vita wala machafuko kwani husababisha amani kutoweka kwenye familia na vifo vya watu wasio na hatia.
Ametoa wito huo leo mchana (Jumapili, Agosti 10, 2014) wakati akitoa mada kama mzungumzaji mkuu (keynote speaker) kwenye Mkutano wa Dunia wa siku tano ulioanza leo jijini Seoul, Korea Kusini.
Mkutano huo ambao umeandaliwa na taasisi ya Universal Peace Federation (UPF) ambayo inatoa ushauri kwenye...

 

5 years ago

Michuzi

MTANDAO WA WANAWAKE LAKIMOJA WATOA PONGEZI KWA WAMAMA WOTE

NA MWANDISHI WETU.

MTANDAO wa Wanawake Laki Moja  (100,000  WOMEN) wenye lengo la kuunganisha na Wanawake, kupambana na Ukatili wa Kijinsia na Umasikini hapa nchini umetoa pongezi kwa akina Mama wote walio mstari wa mbele kwenye mapambano dhidi ya virusi vya Corona.

Pongezi hizo zimetolewa leo ambayo ni siku ya Kina Mama (Mother's Day )  ambapo wamekuwa mstari wa mbele katika mapambano.

"WanawakeLakiMoja tunawapongeza kina Mama wote wa Tanzania na duniani kwa ujumla.Kazi kubwa wanazozifanya za...

 

9 years ago

Mwananchi

2,000 wakimbia kukeketwa Tarime

Wasichana 2,118 wamekimbilia kwenye Kituo cha Kupinga Ukatili wa Kijinsia cha Masanga kinachomilikiwa na Kanisa Katoliki Jimbo la Mara wilayani Tarime ili kuepuka kukeketwa na wazazi wao.

 

9 years ago

Mwananchi

19 waliokimbia kukeketwa hawajapokelewa na wazazi

Wasichana 19 kati ya 117 waliokimbia kukeketwa katika Wilaya za Ngorongoro mkoani Arusha na Tarime mkoani Mara, hawajapokelewa na wazazi wao na kuhifadhiwa Kituo cha Nyumba Salama kilichopo wilayani hapa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani