Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


2,000 wakimbia kwao kwa hofu ya kukeketwa Tarime.



Wasichana 2,003 wamezokimbia familia zao na kwenda kuishi katika kituo cha Masanga Wilaya ya Tarime mkoani Mara kwa hofu ya kukeketwa na wazazi wao.

Hayo yalibainishwa na Mlezi wa kituo hicho, Germaine Baibika, wakati akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa kupinga ukeketaji ulioandaliwa na Shirika la Jukwaa la Utu wa Mtoto (CDF) uliowashirikisha wadau wa kupinga ukeketaji na ndoa za utotoni.

Baibika alisema takwimu hizo ni tangu mwaka 2008 na idadi hiyo ni tangu walipoanza kupokea wasichana...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

2,000 wakimbia kukeketwa Tarime

Wasichana 2,118 wamekimbilia kwenye Kituo cha Kupinga Ukatili wa Kijinsia cha Masanga kinachomilikiwa na Kanisa Katoliki Jimbo la Mara wilayani Tarime ili kuepuka kukeketwa na wazazi wao.

 

11 years ago

Habarileo

Mabinti 406 wakimbia kwao wakikwepa kukeketwa

WATOTO wa kike 406 wakiwemo wanafunzi kutoka shule za msingi na sekondari wilayani Tarime mkoani Mara, wamekimbia makwao na kwenda kuhifadhiwa katika kambi ya Kanisa Katoliki Masanga.

 

9 years ago

Mwananchi

Wanafunzi 150 Serengeti wakimbia kukeketwa

“Nalazimishwa kukeketwa ili niolewe, maana kwa mila na desturi za Kimasai mtoto wa kike anapozaliwa hupata mchumba. Pamoja na umri wangu mdogo hivi, licha ya kuwa nasoma, nani wa kutuokoa.”

 

10 years ago

Habarileo

Amkata mke viwiko kwa kupeleka 400,000/- kwao

POLISI mkoani Kigoma inamshikilia Abona Daniel mkazi wa Kijiji cha Singunga Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma kwa tuhuma za kumkata mke wake viwiko vya mikono kwa panga na kumsababishia ulemavu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Warundi 10,000 wakimbia nchi wikendi

UNHCR inasema raia wengi walihofia usalama wao wakati wa uchaguzi wa ubunge uliofanyika hapo Jumatatu

 

10 years ago

BBCSwahili

WHO:Hofu ya 20,000 kuambukizwa Ebola

Shirika la WHO limeonya kuwa ugonjwa wa Ebola huko Afrika Magharibi huenda ukawaambukiza zaidi ya watu 20,000 kabla haujadhibitiwa.

 

5 years ago

AnandTech

Folding@Home Reaches Exascale: 1,500,000,000,000,000,000 Operations Per Second for COVID-19

Folding@Home Reaches Exascale: 1,500,000,000,000,000,000 Operations Per Second for COVID-19  AnandTechView Full coverage on Google News

 

9 years ago

Vijimambo

MDAU WA VIJIMAMBO AKIWA KIJIJI KWAO MKATAA KWAO MTUMWA

 Ustadh Maftah  wa New York akiwa Kilwa aliturushia hii kuonyesha kuwa mkataa kwao ni mtubwa hapa Ustadh Mafutah akiwa na shangazi yake Zureha bint Maftah wakielekea kisiwani kutoka Kilwa masoko Lindi.
 Hii ni ramani ya kisiwani, kisiwa hiki ni maarufu sana katika karne ya 9 kilikuwa kina milikiwa na sultan Ali bin Al-Hasan hapa ndipo palikuwa makazi yake katika karne hiyo ya 9 hadi karne ya 15.  Alijenga Msikiti mkubwa sana na alifanya kituo kikubwa cha kubairishia watumwa na kuwasafirisha...

 

5 years ago

Michuzi

WAJUMBE KAMATI YA WAWAKILISHI CCM ZANZIBAR WATENGA MILIONI 33,000,000/- ZITAKAZOTUMIKA UTENGENEZAJI WA BARAKOA NA KUSAMBAZWA KWA WANANCHI

 Mfanyabiashara Mohamed Ibrahim Raza akionyesha Uzalendo wake wa kukubali kusaidia mchango wowote utaohitajika na Serikali katika Ustawi wa Jamii Nchini. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Kulia akionyeshwa moja ya aina ya vitakasa mikono vilivyotolewa na Mfanyabiashara Mzalendo Nchini Mohamed Ibrahim Raza {Raza Lee} kusaidia mapambano dhidi ya kuangamiza Virusi vya Corona Nchini.Kati kati yao ni Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani