2013 NUKSI KWA MASTAA BONGO
![](http://api.ning.com:80/files/KtF8hZpsH-04d8*sZFvEAAvks6q5E28gAnLrqBPUWEmezoirhHH04rPOIeq80YgtNXqrrg*GVd-VcT4c8KiOVUrlKJsvWlBd/2013.jpg?width=650)
Stori: Mwandishi Wetu ZIKIWA zimesalia siku 15 kukatika kwa mwaka 2013 na kuukaribisha 2014, Ijumaa Wikienda linakuletea matukio kibao yaliyotafsiriwa kuwa ni nuksi katika ulimwengu wa mastaa Bongo. Marehemu Sajuki. BONGO MOVIES Katika kipindi chote hicho, tasnia ya filamu (Bongo Movies) ilipata pigo zaidi ya mara kumi baada ya kuondokewa na mastaa wake tangu mwaka huo ulipoanza alipofariki dunia Juma Kilowoko...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Magari 11 ya mastaa wa Bongo Fleva/Bongo Movie 2015 (+Picha)
Najua nina watu wangu mnaopenda kufahamu magari wanayomiliki mastaa mbalimbali wakiwemo Bongo Movie na Bongo Fleva, sasa hapa nimefanikiwa kupata picha 11 za mastaa wanaomiliki magari makali Dar es Salaam. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK […]
The post Magari 11 ya mastaa wa Bongo Fleva/Bongo Movie 2015 (+Picha) appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xa7rDnAgaa4U3bVJPRu9bf*D50Hiji7Fkrry8vL5fw8VKcmb398oLggbr6SxM*1VG-uf3vLc8Y5PLGDv*e0UsqpvB6Q-Jt0e/22.jpg?width=650)
ISABELA: MASTAA WA KIKE BONGO WANAISHI KWA KUUZA MIILI YAO
11 years ago
Mwananchi25 May
Nuksi za wapambe nuksi
10 years ago
Bongo Movies08 Feb
Isabela: Mastaa wa Kike Bongo Wanaishi Kwa Kuuza Miili Yao, Jini Kabula na Davina nao waeleza!!
Akizungumza na GPL , msanii wa filamu na muziki Bongo, Isabela Mpanda ‘Bella’, alisema wasanii wengi wanaishi maisha ya thamani wakati kiuhalisia kazi yao haiwaingizii kipato kinachofanana na maisha ya thamani wanayoishi hivyo kuamua kujiuza.
“Filamu hazilipi, wengi tunajiuza. Bajeti yenyewe ya muvi ni ndogo, wasanii wengi wanataka kulipwa katika muvi moja, haiwezekani kumiliki vitu vya thamani ndiyo maana tunaamua kujiuza.
“Hakuna msanii anayeishi maisha ya kutegemea filamu, kwanza...
10 years ago
Bongo Movies10 May
Leo Ikiwa ni Siku ya Kina Mama Dunia, Hizi ni Jumbe za Baadhi Mastaa wa Bongo Movies kwa Mama Zao
Wema Sepetu
Today Happens to be Mother's Day.... And Since my mummy is the world's best mother it happens to also be her Birthday... Now that is nat just a coincidence, that is a Blessing... I jus get speechless trying to find the right words to say to this woman ryt here... But all in all is I jus wanna let u know on this special day that you are my Rock, my only pillar, the love of my life, you are all I got... And I wish u many more years of Life... I dont know what id do without you......
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/S6leBpJ8ovC1fOoG2i-c72Gy3DCURYnvzga95dH4Q1tV8eVYoSZ2JPr70LVPpPfMKcl7SjFUmIr3B*aehdLCpfG9dPRhfmiQ/ufuska.jpg?width=650)
UFUSKA WA MASTAA BONGO
9 years ago
MillardAyo23 Dec
Hadi kufikia mwaka 2013, hii ndio ilikuwa list ya mastaa wa soka wanaopendwa zaidi duniani …
Mtu wangu wa nguvu najua unafahamu kama mchezo wa soka ndio mchezo unaoongoza kwa kupendwa duniani. Katika soka kuna list ya wachezaji ambao wanapendwa na mashabiki kutokana na vitu ambavyo wanafanya uwanjani. Imenifikia TOP 5 ya mastaa wa soka wanaoongoza kwa kupendwa duniani. Lionel Messi ambaye anaichezea klabu ya FC Barcelona ya Hispania ndio anatufungulia list […]
The post Hadi kufikia mwaka 2013, hii ndio ilikuwa list ya mastaa wa soka wanaopendwa zaidi duniani … appeared first on...
10 years ago
Vijimambo16 Jan
Mastaa wa Bongo Movie ni “Masnichi”
![](http://www.bongomovies.com/public/uploads/wolper113.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/U4nVIpmxyNPhflpvlBf10vCkhVM8CUplxDjz0IQ9DbrY020KupW2G*2JlYrw4tgNk1YJxm-6YyYun2H2CrWEwdpEHt52LiMO/Mastaa.jpg)
MASTAA NA UPEPO WA KISIASA BONGO!!!