40% ya watoto hawajui kwa nini wanameza ARV
Asilimia 40 ya watoto wenye umri chini ya miaka 15 wanaotumia dawa zakufubaza virusi vya Ukimwi (ARV) baada ya kuthibitika kuwa wanaishi na virusi hivyo katika Manispaa ya Ilala, hawajui kwanini wanameza dawa hizo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili09 Jun
Watoto kunufaika na dawa mpya za ARV
Mamlaka ya Chakula na Dawa ya Marekani imeidhinisha matumizi ya Dawa mpya zitakazochanganywa kwenye chakula cha Watoto
11 years ago
Tanzania Daima18 Dec
Watoto wengi hawajui kusoma kuandika — Utafiti
ASILIMIA 61 ya watoto walio na umri wa chini ya miaka tisa hawawezi kusoma Kiswahili, Kiingereza na kufanya hesabu za kuzidisha huku wanafunzi wa shule binafsi wakionekana kufanya vizuri katika...
11 years ago
Mwananchi19 Jan
Kwa hili, tunawafundisha nini watoto wetu?
Amani iwe juu yenu enyi wapendwa wasomaji wangu. Ni matumaini yangu kuwa mmekuwa mkiyafanyia kazi yale yote ninayowaletea katika safu hii.
10 years ago
Mwananchi18 Jul
UCHAMBUZI: Kwa nini wasanii wetu wengi ni watoto?
>Mambo ya kitoto, mtoto kumfanyia mtoto mwenzake, tunasema watoto wanacheza lakini mambo ya kitoto, mtu mzima kumfanyia mtu mzima mwenzake kuna walakini hapo.
11 years ago
Mwananchi24 Dec
Kwa nini watoto wetu waendelee kukaa chini shuleni?
Tamko la Azimio la Arusha la mwaka 1967 ndilo linalotajwa kuwa chimbuko la falsafa ya Ujamaa na Kujitegemea iliyosababisha mabadiliko makubwa katika sera za kijamii na kiuchumi nchini.
11 years ago
Mwananchi11 Feb
Kwa nini tuone aibu kuzaa watoto wenye ulemavu?
Makala yangu ya mwisho nilieleza kuhusu hali ya watoto wenye ulemavu na majukumu wanayokabiliana nayo wazazi na walezi wa watoto hao.
11 years ago
Michuzi05 Feb
5 years ago
BBCSwahili20 May
Virusi vya corona: Kwa nini watoto waliozaliwa na kina mama wa kupanga wamekwama Ukraine?
Watoto waliozaliwa na kina mama wa kupanga wamekwama nchini Ukraine kutokana na masharti ya kutotoka nje kukabiliana na virusi vya corona.
10 years ago
BBCSwahili02 Dec
Awashitaki madaktari kwa kumpa ARV'S kimakosa
Mwanaume mmoja nchini Kenya amewashtaki madaktari watano kwa kumpima HIV halikadhalika kumpa dawa za ARV wala hakuwa na HIV.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania