5 wafariki kwenye shambulizi Nairobi
Watu kadhaa wanahofiwa kufariki kufuatia mlipuko uliotokea ndani ya gari moja dogo la abiria katika mtaa wa Pangani mjini Nairobi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili12 Mar
Watu 5 wafariki katika shambulizi Baidoa
Alshabaab wamepigana na kufanikiwa kuingia katika makao makuu ya utawala wa jimbo katika mji wa eneo la kati wa Baidoa .
11 years ago
BBCSwahili02 Jan
10 wajeruhiwa kwenye shambulizi Kenya
Angalau watu kumi wamejeruhiwa katika shambulizi la guruneti katika eneo moja la watalii mjini Mombasa.
9 years ago
BBCSwahili22 Aug
9 wauawa kwenye shambulizi Somalia
Shambulizi la kujitoa mhanga kusini mwa Somalia limewaua takriban watu 9 katika kituo kimoja cha kutoa mafunzo ya kijeshi.
9 years ago
BBCSwahili19 Aug
13 wauawa kwenye shambulizi Syria
Mshambuliaji wa kujitoa mhanga ameshambulia vikosi vya jeshi la wakurdi kaskazini mashariki mwa Syria na kuwaua takriban watu 13
10 years ago
Tanzania Daima04 Sep
Wafariki wakitokea kwenye sherehe
WATU wanne wamefariki dunia na mmoja kujeruhiwa baada ya gari dogo namba T 697 AVY walilokuwa wakisafiria kutoka kwenye sherehe kugongwa na lori namba T 700 CTG Leyland DAF na...
11 years ago
BBCSwahili26 Jan
20 wafariki kwenye mlipuko DRC
Watu 20 wanahofiwa kufariki kutokana na mlipuko katika ghala la silaha katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo.
11 years ago
BBCSwahili12 Mar
Nairobi ya 6 kwenye Twitter Afrika
Nairobi ndio mji wenye shughuli nyingi zaidi kwenye Twitter Afrika Mashariki lakini ni ya sita barani Afrika. Je uko kwa Twitter?
11 years ago
Mwananchi04 May
Wanafunzi wa Mzumbe wafariki dunia kwenye bwawa la samaki
Watu watatu wamefariki dunia wakiwamo wanafunzi wawili wa Chuo Kikuu cha Mzumbe Kampasi ya Mbeya, ambao walipoteza maisha baada ya kuzama kwenye bwawa la samaki.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
WANNE WAPOTEZA MAISHA KWENYE MLIPUKO NAIROBI
WATU wanne wanadaiwa kupoteza maisha wakati wengine kadhaa wakijeruhiwa baada ya milipuko miwili ya maguruneti kutokea eneo la Gikomba mjini Nairobi, Kenya. Mlipuko wa kwanza umetokea katika basi la abiria 'matatu' wakati wa pili ukitokea katika soko la Gikomba.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania