55% WAIPIGIA KURA KATIBA YA MISRI
Maafisa wakuu nchini Misri wamesifu sana idadi kubwa ya watu waliojitokeza kupigia kura ya maamuzi katiba mpya. Jeshi limekuwa likiwashawishi watu kupiga kura ya ndio ili kuhalalisha kuondolewa mamlakani kwa aliyekuwa Rais Mohammed Morsi. Afisa mmoja mkuu wa uchaguzi, Nabil Salib,ameambia vyombo vya habari kwamba idadi ya watu waliojitokeza kupiga kura ya maamuzi ilikuwa kubwa sana kinyume na matarajio ya wengi. Siku ya pili ya...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili16 Jan
55% wapigia katiba kura Misri
11 years ago
BBCSwahili15 Jan
Misri: Kura ya katiba yaendelea
11 years ago
BBCSwahili28 May
Kura kupigwa kwa siku ya 3 Misri
11 years ago
BBCSwahili15 Jan
Ghasia kwenye kura ya maamuzi Misri
5 years ago
CCM Blog16 Feb
MISRI YATAKA BARA LA AFRIKA LIPEWE HAKI YA KURA YA VETO
11 years ago
BBCSwahili14 Jan
Katiba mpya yanukia Misri
11 years ago
BBCSwahili18 Jan
4 wafariki Misri katiba mpya ikisakwa
11 years ago
BBCSwahili19 Jan
98% waliunga mkono katiba mpya Misri
11 years ago
BBCSwahili14 Jan
Katiba mpya italeta afueni Misri?