Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kura kupigwa kwa siku ya 3 Misri

Vituo vya kupiga kura vimefungua kwa siku ya tatu nchini Misri, ambako wapiga kura wanamchagua Rais mpya.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

RC ataka ushirikiano kura kupigwa kwa amani

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Mecky Sadiki amewataka waratibu wa uchaguzi, wasimamizi wa uchaguzi na viongozi wa vyama vya siasa katika mkoa huo kuhakikisha kuwa wanafanya kazi zao kwa ushirikiano ili kuwawezesha wananchi kupiga kura kwa amani na utulivu na kuepusha manung’uniko yasiyokuwa na maana.

 

11 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi Misri waanza leo kwa siku mbili

Raia wa Misri watapiga kura siku mbili kumchagua rais mpya chini ya ulinzi mkali kuhakikisha mchakato wa upigaji kura.

 

11 years ago

Vijimambo

Bunge la Katiba:Kura kupigwa ughaibuni

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, ametumia ‘ubabe’ kuongoza Bunge hilo kufanya marekebisho ya kanuni ili kuruhusu wajumbe watakaokuwa nje ya Bunge siku ya kupiga kura wafanye hivyo kwa kutumia mtandao.

Hali hiyo ilijitokeza wakati wajumbe waliokuwa wakipinga kufanyika kwa marekebisho hayo alipokuwa akiwaingilia na kuwakatisha na wakati mwingine kuwatuhumu kuwa ni waongo na wanazua kwamba, azimio hilo ni la kulazimisha ili wapige kura.

Alifanya hivyo wakati wajumbe watatu kwa nyakati...

 

11 years ago

KwanzaJamii

MAAMUZI MAGUMU BUNGE LA KATIBA, KURA KUPIGWA HADI ALHAMISI

Na Emmanuel Lengwa Hatimaye Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba (BMK) leo wanaanza kufanya maamuzi magumu kwa kupiga kura yenye lengo la kupitisha rasimu ya Katiba inayopendekezwa huku kukiwa na taarifa kuwa huenda masuala kadhaa likiwamo theluthi mbili yakaikwamisha. Hatua ya upigaji kura itakayohitimishwa Alhamisi wiki hii na Ijumaa kutunga sheria ya kipindi cha mpito kabla ya katiba kuanza kutumika, inafikiwa baada ya Bunge hilo kutumia zaidi ya siku 130 mjini Dodoma wakitunga...

 

11 years ago

BBCSwahili

55% wapigia katiba kura Misri

Maafisa wakuu nchini Misri wamesifu sana idadi kubwa ya watu waliojitokeza kupigia kura ya maamuzi rasimu ya katiba mpya.

 

11 years ago

GPL

55% WAIPIGIA KURA KATIBA YA MISRI

Maafisa wakuu nchini Misri wamesifu sana idadi kubwa ya watu waliojitokeza kupigia kura ya maamuzi katiba mpya. Jeshi limekuwa likiwashawishi watu kupiga kura ya ndio ili kuhalalisha kuondolewa mamlakani kwa aliyekuwa Rais Mohammed Morsi. Afisa mmoja mkuu wa uchaguzi, Nabil Salib,ameambia vyombo vya habari kwamba idadi ya watu waliojitokeza kupiga kura ya maamuzi ilikuwa kubwa sana kinyume na matarajio ya wengi.
Siku ya pili ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Misri: Kura ya katiba yaendelea

Raia wa Misri wameendelea na upigaji wa kura ya maoni kuhusu katiba mpya kwa siku ya pili

 

11 years ago

BBCSwahili

Ghasia kwenye kura ya maamuzi Misri

Wafuasi wa Rais aliyeondolewa mamlakani Mohammed Morsi walizua vurugu na hata kusababisha vifo kadhaa.

 

11 years ago

Vijimambo

MPAMBANO WA NGUMI KUPIGWA SIKU YA NYERERE DAY TANDIKA

Na Mwandishi Wetu
BONDIA Imani Daudi anatarajia kupigana na Patrick  Amote kutoka kenya kwenye mpambano wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi utakaofanyika katika ukumbi wa musoma bar Tandika siku ya kumbukumbu ya baba wa Taifa Nyerere Day tarehe 14 mwezi huu mpambano huo unaoratibiwa na oganaizesheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBO chini ya Rais wake Yassin Abdallah 'Osthadhi'
lina marengo ya kumkumbuka baba wa taifa katika siku hiyo ya kipekee kabisa kwa nchi yetu ya Tanzania
akizungumza na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani