Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


A toZ,Mengi wamsaidia Lowassa jimboni kwake,wachangia shule iliyoungua

Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa shule sekondari ya wavulana ya Engutoto wilayani Monduli wakati alipotembelea leo.Lowassa ambaye alirejelea kauli yake ya kwamba yeye si tajiri bali ni tajiri wa marafiki, alichangia shilingi milioni tatu kwa ajili ya sare za shule kwa wanafunzi ambao nguo zao ziliteketea.Aidha mwenyekiti mtendaji wa makampuni IPP amechangia shilingi milioni 25 kwa ajili ya vitanda.Mmiliki wa kiwanda kikubwa cha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Tundu Lissu ahujumiwa jimboni kwake: Shule ya Msingi Taru yakosa usajili licha ya kuwa na vigezo muhimu vya awali

SAM_0052Jengo la madarasa wanayotumia wanafunzi wa darasa la pili na la tatu kutokana na upungufu wa vyumba vya madarasa katika shule hiyo.

Na.Jumbe Ismailly

[Ikungi, Singida]Shule ya  msingi Taru namba saba iliyopo kata ya Sambaru, tarafa na wilaya ya Ikungi, Mkoani Singida haijasajiliwa kwa kipindi cha miaka sita sasa, hali inayochangia wanafunzi wa darasa la nne kutembea umbali wa kilomita 22 kwenda kufanya mtihani wa kuingia darasa la dano katika shule mama ya Sambaru.

Mwenyekiti wa Kijiji cha...

 

10 years ago

Michuzi

Ziara ya Makalla jimboni kwake Mvomero

Mbunge wa Mvomero na Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla ameendelea na ziara ya kikazi jimboni kwake huku Makundi mbalimbali yaliendelea kumuunga Mkono na kumshawishi achukue fomu ya Ubunge kwa kipindi kijacho.
Katika ziara yake ya kichama amekagua kazi zinazotanywa na kikundi cha wakina mama wafinyanga vyungu, wakinamama wajasiriamali wauza kokoto na walima bustani.
Aidha amezindua Shina la ushindi ambalo wakinamama wafinyanga vyungu ndiyo wanachama wa Shina hilo, Katika kuunga Mkono...

 

11 years ago

Michuzi

Mh. Simbachawene akiwa jimboni kwake Kibakwe

Naibu Waziri wa Ardhi Mhe. George Simbachawene ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kibakwe, akiwa pamoja na Viongozi wa CCM Wilaya ya Mpwapwa na Viongozi wa kata ya Rudi walipotembelea na kukagua jengo la josho la mifugo lililojengwa kwa nguvu za wananchi na serikali kijiji cha Mtamba kitongoji cha Iramba kata ya Rudi Wilaya ya Mpwapwa.Picha na Mgheni Anthony. Naibu Waziri wa Ardhi Mhe. George Simbachawene akikabidhi msaada wa magodoro,saruji na mabati kwa Bi.Asha Mtata kwa niaba ya wananchi...

 

10 years ago

Michuzi

WAZAZI WACHANGIA SHULE YA UFUNDI IFUNDA

 Mdau wa maendeleo, Jackson Kiswaga (mwenye skafu) akiwakabidhi moja ya mabati 50 wanafunzi wa shule ya sekondari ya Ufundi ya Ifunda kwa ajili ya ukarabati wa jengo la taaluma na nidhamu lilounguamwaka 2013 katika shule hiyo.(picha na Denis Mlowe).
 Mkurugenzi wa Tigo Nyanda za Juu Kusini Jackson Kiswaga akizungumza wanafunzi na wazazi wa shule ya shule ya sekondari ya Ufundi ya Ifunda.  Mkurugenzi wa Tigo Nyanda za Juu Kusini Jackson Kiswaga akikabidhi cheti kwa mhitimu wa shule ya shule...

 

11 years ago

Michuzi

MH. MAKALLA AFANYA ZIARA JIMBONI KWAKE MVOMERO

Na John Nditi, Morogoro
Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Amos Makalla ,ambaye pia ni Naibu Waziri wa Maji,kuanzia Julai 3 hadi 7, mwaka huu, alifanya ziara ya kikazi iliyilenga kuhamasisha shughuli za maendeleo ya wananchi wake wa vijiji mbalimbali vya Tarafa ya Mlali, Turiani na Mvomero.
Katika ziara hiyo, ametoa misaada ya aina mbalimbali ya kifedha na vifaa kwa ajili ya kuharakisha maendeleo ya huduma za kijamii ikiwa ni pamoja na kuzundua vituo vya kuchota maji Kijiji cha Mgogo, Kata ya...

 

11 years ago

Michuzi

MH. MAGUFULI AENDELEA NA ZIARA JIMBONI KWAKE CHATO

Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Chato, Mhe. Dk. John Magufuli akihutubia wanachi wa kijiji cha Nyisanzi kata ya Kigongo. Makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato akielezea namna Halamshauri inavyojitahidi kuboresha huduma mbalimbali kwa wananchi wa kata ya Nyarutembo. kikundi cha Burudani kutoka kata ya Nyarutembo kikitumbuiza wakati Mbunge wa Jimbo la Chato alipotembelea eneo hilo. wananchi wa kitongoji cha Nyabirere kata ya Muganza wakiwa wamezuia msafara wa Mhe. Dk....

 

9 years ago

CCM Blog

MAGUFULI APIGA KURA JIMBONI KWAKE CHATO

 Mgombea Urais kwa kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akipiga kura kwenye kituo namba moja kilichopo shule ya msingi Magufuli iliyopo Chato, mkoani Geita.
Dk. Magufuli alipiga kura yake asubuhi ya saa 4 na dakika 32.
 Mgombea Urais kwa kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akijitayarisha kuweka kura yake kwenye sanduku la kura .
 Mgombea Urais kwa kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiweka kura yake ya kwanza ya urais kwenye sanduku la kura.
 Mgombea Urais kwa kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali kutekeleza ahadi za Mgimwa jimboni kwake

Wakati Rais Jakaya Kikwete jana akiongoza mamia ya wakazi wa Mkoa wa Iringa na mikoa ya jirani kwenye mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk William Mgimwa, Waziri Mkuu Mizengo Pinda ameahidi kuwa Serikali itatekeleza ahadi alizotoa jimboni kwake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani